stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Hujawahi kujiuliza kwann tunawadhalilisha and they cant do anything 🤣 🤣 🤣Tunawaacha wajitafutie ridhiki, lakini wanaleta jeuri. Tukikaza kidogo tu; kilio
Hujawahi kujiuliza kwann tunawadhalilisha and they cant do anything 🤣 🤣 🤣Tunawaacha wajitafutie ridhiki, lakini wanaleta jeuri. Tukikaza kidogo tu; kilio
Tell me you are a descendant of kijengitile ngwale without telling me 🤣
The legend lives on 😅
View: https://x.com/east_facts/status/1362609045337743360?s=46
Hawana ujanja wowote tukiamua kuwapiga pin na ndio maana Serikali yao huwa inaongea kwa upole sana linapokuja jambo kuhusu Tanzania.Hujawahi kujiuliza kwann tunawadhalilisha and they cant do anything 🤣 🤣 🤣
“Niende Tz nikado what” 😂😂😂Tanzania imekuwa majuu ya Kenya. Mkenya akija Tanzania anaaga anaenda majuu kusearch for greener pastures
Hata huyu mwaiofhawaii haikuwa lazima ukimbilie Marekani, ungekuja tu Tanzania
View attachment 3675953
wanaongea kwa adabu kichz, 🤣 🤣 🤣 yaani mpaka tunaoa mtoto ya presidentHawana ujanja wowote tukiamua kuwapiga pin na ndio maana Serikali yao huwa inaongea kwa upole sana linapokuja jambo kuhusu Tanzania.
Tanzania imekuwa majuu ya Kenya. Mkenya akija Tanzania anaaga anaenda majuu kusearch for greener pastures
Hata huyu mwaiofhawaii haikuwa lazima ukimbilie Marekani, ungekuja tu Tanzania
View attachment 3675953
Walijaribu ku beep kuzuia gari za Tanzania zisiingie Kenya kuchukua watalii. Tuliwapiga dole la kati jioni tu wakaja kupiga magoti.wanaongea kwa adabu kichz, 🤣 🤣 🤣 yaani mpaka tunaoa mtoto ya president
kunywa maji 🤣🤣🤣 mlisema mje kufanya nn tz sio 🤣🤣🤣 wenzenu wanakula salary nzuri meanwhile your national team cant even get allowance 🤣🤣, alafu your top players are here groowing the league 🤣🤣🤣How much remmitances are your omba omba sending back?
Bongolala relies on Kenya for super skilled labor and businessmen, while you send us beggars.
On top of that, everyone knows what has been happening in South Africa and Saudi Arabia.
Their problems and policies are the only reason bongolala is first on this year's list.