Jamaa anaanza ujenzi hajasign sasa hatuelewi mradi wa nani π€£π€£π€£Hamna ujenzi hapo hizo ni propaganda za tutam hujui uchaguzi umekaribia? itakuja miradi mingi sana kipindi hiki mara tunaunganisha reli na TZ, mara refinery mara power generation utaona mengi mpaka 2027
Biashara inalipa mkuu most of these buses are full everyday Tanzanians travel alot.huyu jamaa sjui anafanya komoa
yeah najua sema jamaa ana fleet kubwa kiasi kwamba hakuna mko hayupoBiashara inalipa mkuu most of these buses are full everyday Tanzanians travel alot.
Project haina feasibility studies, pre-FEED, financial arrangements, legal and monetary frameworks. Hapo issue ni election next year; Tutam akipita, watakula nchi vizuri sana, na Dangote anaonekana ku-bankroll Ruto.infact he has to pay back loans, pay share holders and ofcourse make a profit for himself π€£π€£π€£
View: https://x.com/AnuarSaddat/status/2104900499891769766?s=20
Just noise .. welcome to Kenya, the land of opportunity.. their hands will be greased and everything will move on as planned. The project is too big to fail. Elvis has left the building for the naysayers if you know what I mean ..π
......and what is wrong with Dangote wa Kilgoris owning it?π€£π€£π€£ hawa sasa ndo wako sharp
View: https://x.com/AnuarSaddat/status/2104913248596189429?s=20
Sasa hivi unaona umepiga luku na watch fake hahahaaaππLet me just give you a little comparison ili nikuoneshe nafasi yako. Huyu ni wewe this year ππΎView attachment 3680171View attachment 3680172halafu huyo hapa ni mimi 2019.. 7 years ago .. soma tarehe ya picha hapo juu. ππΎ angalia details zilivyozingatiwa View attachment 3680173.. na hadi sasa bado wewe huwezi fika standards zangu tangu nikiwa bwa mdogo. ππππ. Weee endelea kuvaa maronya ronya bhana, huna unaemtisha humu.
nmeskia pia SGR wanaipeleka tz, sasa sjui ndo tushakua source ya kushinda presidential seat uko π€£ π€£ π€£ jamaa nahisi kachanganyikiwa saaahvProject haina feasibility studies, pre-FEED, financial arrangements, legal and monetary frameworks. Hapo issue ni election next year; Tutam akipita, watakula nchi vizuri sana, na Dangote anaonekana ku-bankroll Ruto.
Whats wrong with tata chemicals?......and what is wrong with Dangote wa Kilgoris owning it?
Ebu tuonyeshe hiyo nafadi ya kuwekwa running track hapaππMulti-purpose, football, rugby na mbio pia kwasabu inanafasi ya kuwekwa running track.
Land of slum opportunities π€£ π€£Just noise .. welcome to Kenya, the land of opportunity.. their hands will be greased and everything will move on as planned. The project is too big to fail. Elvis has left the building for the naysayers if you know what I mean ..π
Running track? Hapa?Multi-purpose, football, rugby na mbio pia kwasabu inanafasi ya kuwekwa running track.
What has one got to do with the other? Uko sawa kichwani?Whats wrong with tata chemicals?
Kumbe unajua there is something wrong with tata continue working alafu unaniuliza swali ambalo unajua kabisa whats going onWhat has one got to do with the other? Uko sawa kichwani?
lakini si mlisema fans are close to players ama shida iko wap π€£ π€£ π€£Running track? Hapa?
View attachment 3680417
π€£π€£π€£π€£
Napenda jinsi mnajifariji mibongolala
Hiyo ni running track ya lanes mbili ama nane as usual?ππ
Kwa Fifa rank kweli unafananisha Bisau na Eritrea!? Embu kuwa mtu mzima kidogo.Unataka Guinea Bissau nifananishe na Brazil?
They even know our president has a home in Kilgoris. The obsession is realππ......and what is wrong with Dangote wa Kilgoris owning it?