Acha ujinga na wewe, refinery sio crude oil pipeline useme moja inatosha kwa mazingira yaliyopo, refinery zinaweza kuwa hata 10 kulingana na uhalisia uliopo. Refinery ya Tanga ni unavoidable, dangote ni kama muda wake unakwenda kuisha na ndiyo mana ilikuwa rahisi kumuongopea ajenge lamu wkt pesa iko Tanga. Akijaribu ku divert ndiyo mwisho wake utakuwa hapo, na ndiyo mana hata yeye mwenyewe ameshangaa ameshawishiwa vp kwenda lamu na sio Tanga. Ss Tanzania huwa hatuna mihemko, jiografia inatu favour tuwe hivyo, hata tukikaa kmy wenyewe mtarumbana mwishowe hitimisho litatoka kwamba sehemu safe ni Tanzania, blessed land.