Yani Trump ana miaka 80 anatukanwa na kubagazwa na wananchi wake waziwazi maana ni mtumishi wao.
Ruto nchi yake iliyoendelea kuishinda Tanzania Rais wake wa sasa na aliyepita anatukanwa na kubezwa kwa makosa ya kiutendaji na hafanyi kitu zaidi ya kuwa prove wrong
Ije kuwa Samia mwenye miaka 66? Mdogo kuliko baba yangu na mama yangu ndo asibezwe awe Mungu aimbwe na kila mtu?
Samia ambaye miaka 80 hatokaa aifikishe ni Mungu Tanzania yani hata ukimuita tu Rais wa hovyo wewe umepotea huyo si Mungu sasa maana Mungu ndo hadhihakiwi