Best roads unamaanisha nini?Kenya kuna best roads Tanzania nzima sio dar ni hakuna.
Unamaanisha nini, siyo ya uhakika?Sgr train hii ambayo si ya uhakika?
Longest unamaanisha ngapi?Kenya wana longest sgr railways na wanapanua zaidi yetu kufika tu Mwanza inasadikika itafika 2030
Kavimbiwa na njaa uyo 😂😂😂Best roads unamaanisha nini?
Unamaanisha nini, soyo ya uhakika?
Longest unamaanisha ngapi?
Aisee,.unatumia Mirungi, visungura au ndio hukubahatika kuzaliwa na akili?
Nilikua najibu huu upuuzi uliojaribu kuudanganya umma lakini. 👇🏾 nimekujibu right.? Au ni nongwa za Chadema ndio umeleta humu. 😂😂😂Hili likiwanja la Olympic lina hivi viti VIP tu!
Viti kwingine kote ni kama vya walemavu unaenda na kukaa havikunjiki, vya Talanta stadium the whole stadium vinakunjika
N who told you kwamba viti vyote Talanta stadium vinakunjika.? Unaleta uongo wa heche huku kwa wasomi jomba.? 😂😂😂😂Hakuna uwanja bongo una viti kama hivi, bongo hakuna express way, bongo ni kunanuka kila baada ya mitaa miwili
Toka airport hadi banda la ngozi kuna maeneo mawili yananuka ajabu
Tabata mwananchi pananuka, mombasa kuna machinjio 🤮🤮
Shekilango 🤮🤮🤮 Mlalakuwa 🤮🤮🤮
Chadema inahusika na nini umasikini wa maendeleo uliopo Tanzania?Nilikua najibu huu upuuzi uliojaribu kuudanganya umma lakini. 👇🏾 nimekujibu right.? Au ni nongwa za Chadema ndio umeleta humu. 😂😂😂
N who told you kwamba viti vyote Talanta stadium vinakunjika.? Unaleta uongo wa heche huku kwa wasomi jomba.? 😂😂😂😂
Kama hii na unajua hapa ni Kiambu County? Sio hata Nairobi 😆😆 hii si ndo barabara ya Kimara hadi Kibaha 🤮🤮Best roads unamaanisha nini?
Gridi ya umeme inazima mara kwa mara treni halisafiri mara lidondoke yani tafraniUnamaanisha nini, soyo ya uhakika?
More tham 602 currently on operationalLongest unamaanisha ngapi?
Aisee,.unatumia Mirungi, visungura au ndio hukubahatika kuzaliwa na akili?
Weweeee acha kutuona sisi mazwazwa hii project inafanyika wapi eneo gani?Mpaka mwaka ujao mwishon hakuna kichaka chochote apa East kitakua na uwanja nyingi kushinda sisi
View: https://www.instagram.com/reel/DeHbuPtzLZX/?stkn=aDJyODV5dGxoNWY0
Tangu ujue kwamba nafanya kazi airport basi roho inakuuma kweli kweli 😂 😂 😂 😂Tangu ufukuzwe kazi ya Watchman airport siku hizi uko na maumivu Sana😂.
Mbn uchafu mwingi hiviii, yn ni kinyaaKama hii na unajua hapa ni Kiambu County? Sio hata Nairobi 😆😆 hii si ndo barabara ya Kimara hadi Kibaha 🤮🤮
View attachment 3684838
Gridi ya umeme inazima mara kwa mara treni halisafiri mara lidondoke yani tafrani
More tham 602 currently on operational
View attachment 3684840
Hii ni flyover ya 700 kama sio 800 Kenya
Basi Francis amenijenga sn kiimani, kuliko mapasta wengi Tanzania.Hapana, Francis Ndacha anatoka Nyeri county. Mimi ni wa Migori county. Nikiwa home navuka tu border hapo Sirare nala lunch Tanzania narudi zangu nyumbani jioni 😂😂
Vingunguti, mazizini, mbagala, gongo la mboto, manzese, mburahati, tabata bima, mwananchi, mabibo kubovu kushinLets make a left turn, your are skipping some info
View attachment 3684732
View attachment 3684730
View attachment 3684733
View attachment 3684734
View attachment 3684735
View attachment 3684736
NN kingine wamekwambia?
Hapotoshi, anachoongea leo mm nilikiwaza miaka mingi nyuma, ni kweli yesu ni Mungu lkn kuna Mungu Baba ambaye siyo yesu.Sio kweli,yy anapotosha
Mbn uchafu mwingi hiviii, yn ni kinyaa
Lets give it a simple guess, Foleni Nairobi zimeisha?View attachment 3684847
Nionyeshe kama huu tu unaofanyika Nakuru nijisikie na mimi kinyaa.
Nionyeshe ndani ya dar maana najua hakuna mkoa wowote ule Tanzania wenye kitu kama hiki hata dar yenyewe hainaaa
🤣 🤣 🤣 give us the dataVingunguti, mazizini, mbagala, gongo la mboto, manzese, mburahati, tabata bima, mwananchi, mabibo kubovu kushin
zile video nmekutumia umeziona?View attachment 3684849
Nionyeshe kitu kama hiki kutoka serikali ya Tanzania kinachofanyika maporini
Punguza pombeWeweeee acha kutuona sisi mazwazwa hii project inafanyika wapi eneo gani?
Jangwani hakuna ongoing project ya uwanja hakuna mtu site