Duh National Stadium ina udongo hivi😂😂😂
View attachment 3694907
Duh National Stadium ina udongo hivi😂😂😂
View attachment 3694907
Ili tueleeane vizuri kubali kutumia akili tujadili vizuri.uongozi ndio unafanya haya yanayoonekana leo how comes leo tunanunau bus kutoka kenya mpaka golden dragon zimekua aseembled kwao wakat sisi ndio wanunuazi wakubwa wa hzo bus za kichina, leo tumelala mpaka dangote kapeleka mradi ya 17b usd lamu, alaf tunakuja kudanganyana hapa kua vitol atajenga refinery wakat ni siasa za kututiza baada ya dangote kumkosa, sometimes facts hazikwepeki japo zinauma hawa jamaa wametuacha mbali sana
Ama hujui huyo kaongo alinusa tetesi za ujenzi wa refinery ndio maana akaanza kuchomekea ujenzi wa refinery Tanga!Hivi unajua ujenzi wa reninery yake wala haiji kushusha bei ya mafuta!
Tanzania ilikuwa na plan za kujenga refinery na bado refinery itajengwa, punguza siasa za majitaka, tumia akili kufikiri.
Mambo ya Board Making watu walishajaribu hapa Tanzania wakaona biashara hailipi. Biashara inayolipa hapa Tanzania ni ya Truck Assembly. Ndio maana watu wamewekeza huko. Kuna zaidi ya viwanda 5 vya Truck Assembly hapa Tanzania. Hii ni kutokana na Construction, Mining (Tanzania, DRC, Zambia, Malawi, Burundi, Rwanda, Zimbabwe nk). Watu wanafungua viwanda kwa kuangalia faida. Wakenya wanafanya vitu kwa sifa, sasa kakuonesha basi mbili hizo ndio soko lote la mabasi Tanzania?Ili tueleeane vizuri kubali kutumia akili tujadili vizuri.
1. Basi nyingi Tanzania zinanunuliwa China na sio kunyaland, Btw huwezi mpangia muwekezaji anunue mabasi yake wapi, Halafu hivi si nini wewe kipindi cha World Cup ulikuwa unasifia na kuwaringishia wakunya Qatar kutumia mabasi ya kichina? Nini kimebadilika leo?
2. Issue ya Dangote tumelala vipi, ulitaka tumlambe matako ili akubali?
Tetesi ya masharti ya mradi wake ulisikia ama kuona hata mbili, unajua kwenye moja ya masharti yake anataka kulindwa juu ya uagizaji wa mafuta kwamba anakuja kutengeneza monopoly?
Ama hujui huyo kaongo alinusa tetesi za ujenzi wa refinery ndio maana akaanza kuchomekea ujenzi wa refinery Tanga!
Punguza siasa za kipuuzi.
Anayeponda Tanzania kununua basi za kichina ndo huyu. 😂😂😂Mambo ya Board Making watu walishajaribu hapa Tanzania wakaona biashara hailipi. Biashara inayolipa hapa Tanzania ni ya Truck Assembly. Ndio maana watu wamewekeza huko. Kuna zaidi ya viwanda 5 vya Truck Assembly hapa Tanzania. Hii ni kutokana na Construction, Mining (Tanzania, DRC, Zambia, Malawi, Burundi, Rwanda, Zimbabwe nk). Watu wanafungua viwanda kwa kuangalia faida. Wakenya wanafanya vitu kwa sifa, sasa kakuonesha basi mbili hizo ndio soko lote la mabasi Tanzania?
Uganda wapo na Assembly ya basi za umeme lakini tuliwapiga chini kwenye SGR maana hawajafika kiwango.
Siyo kila kitu wakifanya wengine lazima na sisi tufanye.
Mpaka south africa mchina katawala huko, nigeria, egypt au je hukuona bus zilizotumiwa world cup qatar??😅😅😅😅😅
Hvi ww china unamchukulia kama level yenu nyinyi ??😅😅😅😅😅😅
Ndio kaka. Ndio nilikuwa najaribu kumwelewesha kupitia comment yako. Nilikuwa nakupatia compliment kaka. 🤣 🤣 🤣. Kaona basi mbili pale na anataka ku generize. Mwaka jana LATRA walitoa data kuwa kuna zaidi ya mabasi makubwa 40,050 yaliyosajiliwa Tanzania. Sasa huto tubasi tuwili mtu anavimba.Anayeponda Tanzania kununua basi za kichina ndo huyu. 😂😂😂
You are flexing about this while a whole suburb in Johannesburg South Africa (Sunninghill) has ALL streets bearing Kenyan names!!Ushamba ni mzigo wa Mavi. Tembea uone acha kujifungia kibera:
Country City / Area Street name 🇨🇦 Canada Windsor, Ontario Zanzibar Court and Zanzibar Crescent 🇳🇦 Namibia Windhoek, Otjomuise Zanzibar Street 🇧🇼 Botswana Sherwood area Sherwood–Zanzibar Road
Country City Name 🇰🇪 Kenya Mombasa Zanzibar Road 🇿🇦 South Africa Tembisa Zanzibar Street 🇧🇷 Brazil São Paulo Rua Zanzibar 🇩🇪 Germany Berlin Sansibarstraße 🇺🇸 United States Las Vegas Zanzibar Lane 🇫🇷 France La Possession, Réunion Rue Zanzibar 🇳🇱 Netherlands Zoetermeer Zanzibarplein (Zanzibar Square)
Hili jibu mbona kama ilitakiwa umpe huyo ndugu yako popoma! 😂😂😂You are flexing about this while a whole suburb in Johannesburg South Africa (Sunninghill) has ALL streets bearing Kenyan names!!
Nanyuki, Naivasha, Tana, Kikuyu and Malindi Roads. Other roads include Nakuru, Kisumu, Tana, Tiati, Embu, Kitui, Tambach, Nyeri, Diani, Kapiti, Kilindini, Watamu and Thika Roads.
Others include Eldoret Street, Limuru Lane, Tudor Avenue, Baringo Street, Aruba Close, Kitale Close not forgetting the Nakuru Manor, Baringo and Turkana shopping centres.
That's just a suburb in Johannesburg alone. Sasa tukukupa list from around the world utasemaje?View attachment 3695191
Hizo ni gari za Kichina.uongozi ndio unafanya haya yanayoonekana leo how comes leo tunanunau bus kutoka kenya mpaka golden dragon zimekua aseembled kwao wakat sisi ndio wanunuazi wakubwa wa hzo bus za kichina, leo tumelala mpaka dangote kapeleka mradi ya 17b usd lamu, alaf tunakuja kudanganyana hapa kua vitol atajenga refinery wakat ni siasa za kututiza baada ya dangote kumkosa, sometimes facts hazikwepeki japo zinauma hawa jamaa wametuacha mbali sana
hii ndio shida yetu hua hatupendi kukubaliana na ukweli ili tupate hasira ya kufanya zaidi ya hayo, nimeskia mpaka bus za golden dragon za kichina zimekua assembled kenya, alaf sisi tuko hapa tunashangilia upuuzi na uchawa
View: https://www.instagram.com/p/CbkMGiSKzkO/?xtok=YzdtbjF6aDk1c2o3
View: https://www.instagram.com/p/CbfVKHpKw6_/?obrf=MTA4Mnc5dmhtcjFpbQ==
you dont wanna see kenyans photosYou cannot be this brainwashed View attachment 3695193View attachment 3695194View attachment 3695195
sasa shida iko wap 😂 😂 kwan unadhan kila mtu anapenda kukaa kwenye vertical slums 😂😂 The US has more people than kenya but they build side ways, you get a house, parking and ofcourse a garden without forgeting sunlight 😂😂You don’t approve as who? You guys act as if it actually means something, ati I don’t approve🤣
nawaonea huruma sana, sema ndo ivo they have to call themselves capital of slumsNever-ending power disturbances in Kikuyus Voice 🤣🤣🤣🤣
nawaonea huruma sana, sema ndo ivo they have to call themselves capital of slums
View: https://x.com/K24Tv/status/2112747732741808561?s=20
itakua wamechoka kukatiwa umeme![]()
Microsoft to close Nairobi tech hub in major blow to Kenya's digital ambitions
The centre was intended to give African engineers the opportunity to develop products for international markets while working on the continent, rather than having to relocate abroad to pursue...www.thecitizen.co.tz