ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
huwez kunielewa kama unaakili za kichawaBora ungenyama tu 😂😂😂😂 tupe stats za total domestic borrowing na international ,😂😂😂 tunakusubiria
unamcheka kenya mwenye nyumba imechafuka na tope wakat kwako kibanda kizima kimeungua na moto😂😂😂😂Bado unarudia makosa yale yale oscar maaana ukisema swala la madeni unajua marekan anadaiwa kiasi gan? Sasa mm nmekwambia leta stats deni la tz na kenya maaana si ndo mume wako yupo uko
mimi tena? 🤣 🤣 🤣 swali dogo sana maelezo buku, sasa kelele zote apa za nn alafu huna stats ama hujui "no research no right to speak"huwez kunielewa kama unaakili za kichawa
tuonyeshe sasa icho kibanda kizima kilichoungua na moto because Tz ndo peke yake yenye B+ katika credit institution zote za mikopo duniani, and infact inaweza kununua dhahabu kwa pesa za ndan na kuziuza izo dhahabu nje kulipa deni sasa utuonyeshe icho kibanda kilichoungua 🤣 🤣 🤣 and infact ni congo, tanzania na south sudan peke yake wana surplus kwenye trades zao zote wanazofanyaunamcheka kenya mwenye nyumba imechafuka na tope wakat kwako kibanda kizima kimeungua na moto😂😂😂😂
huwez kunielewa kama unaakili za kichawa
Yeye yupo upande wao. Kaka Chora mstari.mimi tena? 🤣 🤣 🤣 swali dogo sana maelezo buku, sasa kelele zote apa za nn alafu huna stats ama hujui "no research no right to speak"
niko kwenye ukweli na haki, ukiwa na akili ya kichawa huwez nielewaYeye yupo upande wao. Kaka Chora mstari.
from which source mbona hupost link una screenshot ??😂😂😂😂😂tuonyeshe sasa icho kibanda kizima kilichoungua na moto because Tz ndo peke yake yenye B+ katika credit institution zote za mikopo duniani, and infact inaweza kununua dhahabu kwa pesa za ndan na kuziuza izo dhahabu nje kulipa deni sasa utuonyeshe icho kibanda kilichoungua 🤣 🤣 🤣 and infact ni congo, tanzania na south sudan peke yake wana surplus kwenye trades zao zote wanazofanya
View attachment 3697035
aya leta data za mume wako sasa
chagua unayotaka, serve yourself 🤣🤣🤣 alafu wewe ukiambiwa leta data unaishia kulalamika sjui condom imefanyaje 🤣🤣🤣from which source mbona hupost link una screenshot ??😂😂😂😂😂
naona tunatamba na master fabricators kenya kitu cha MAN 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://www.instagram.com/reel/De1FXaSok6D/?srtk=Njk3MnptZGRtcjV2
ndio hiii unanionesha mm 😂😂😂😂chagua unayotaka, serve yourself 🤣🤣🤣 alafu wewe ukiambiwa leta data unaishia kulalamika sjui condom imefanyaje 🤣🤣🤣
![]()
‘TZ should leverage B+ rating for growth, future’ - Daily News
DAR ES SALAAM: ANALYSTS have said Tanzania should use its B+ rating, growth and reforms to offer fair investor returns, while building credibility for a future upgrade. They said fair-return deals can build investor confidence, show sound economic management and support a future credit rating...dailynews.co.tz
sisi ndio tunatamba na gari zilizoundwa kenya sisi bado tumelala na uchawa 😂😂kwamba unatamba na gari za bongo tena
hehehe wala usiwe shida ata ivo muache aongeze nguvu kidogo maaana wamepungua sanaYeye yupo upande wao. Kaka Chora mstari.
gari zimeundwa kenya tena? 🤣 🤣 🤣 tuonyeshe wamiliki na workers wa ndan alafu utuambie ni kenya 🤣🤣🤣🤣🤣sisi ndio tunatamba na gari zilizoundwa kenya sisi bado tumelala na uchawa 😂😂
naona tunatamba na master fabricators kenya kitu cha MAN 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://www.instagram.com/reel/De1FXaSok6D/?srtk=Njk3MnptZGRtcjV2