stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
dont you know we are your main source of remitance ama huelewi hio chart 😂Kuna Bongolala Mmoja hapa once ranted for 2 days ati Tanzania ndio inaongoza remittances kwa Kenya. Source yake maybe be CCM gazette …🤣🤣🤣
kenya inaingiza from diaspora remittances 3.33b usd kwa mwaka huku tanzania ndio mzalishaji mkubwa wa ajira kwa kenya waishio tanzania inayoongoza africa ambayo ni 185b tsh haya tujiulize tanzania inaingiza kiasi gani kutoka kwa diaspora wanaoishi kenya? uchawa nchi hii ni cancer😆😆
View: https://www.instagram.com/p/DeqWZTrDu6_/?psln=MXBqb2NmMTE0cWtnMw==
relax man he is another clown 😂Tofauti ya wakenya na wapumbavu wengi wa kitanzania ni kwamba wao wanaijenga nchi yao no matter what, ila waTanzania wao wanashirikiana kuibomoa nchi yao kwa propaganda na uzandiki kama tu huu unaofanya wew hapa. Badala ya kushiriki kuijenga nchi unashiriki kuibomoa kisa tu haukubaliani na serikali na wapumbavu wengine wa kawaida the likes of Maria sarungi, Twaha Mwaipa na huyo muuza maku Hilder Newton, hawana mchango wowote kwenye hii nchi, sasa na wewe usijaribu kuwa kama wao.
Anaonekana mshamba. 😂😂😂
Kumbe ameolewa na mzungu! 😂😂😂Unamiliki lory moja chakavu kaka everyone knows you, Mwaisa Sadima Dickson.
itabidi tu akibua itumike maaana amna namna,Sa'afcon 27 itakuweje na hilo litalanta lao?🤣
Mbna wanajua salary ya fei ya mwezi ndo budget ya KPL nzimaHizi timu za Kunya buana,
Hivi wanajua mshahara wa Jonathan Sowah pekee ni equivalent to the tuskers entire monthly pay ?
Of course wenye akili tulielewa wakunya wasio na akili , ambao ndio majority waliamini timu yao duni ngewaondoa Mzee wangu Mwaluvinga.
Hata dar coach sidhani kama anamjua huyo mluga lugatumeshindwa kumprote dar coach alianza vzr mpaka amekufa 😂😂😂 hii nchi🙌🏻🙌🏻🙌🏻