Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna Bongolala Mmoja hapa once ranted for 2 days ati Tanzania ndio inaongoza remittances kwa Kenya. Source yake maybe be CCM gazette β€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£
dont you know we are your main source of remitance ama huelewi hio chart πŸ˜‚
 
Tofauti ya wakenya na wapumbavu wengi wa kitanzania ni kwamba wao wanaijenga nchi yao no matter what, ila waTanzania wao wanashirikiana kuibomoa nchi yao kwa propaganda na uzandiki kama tu huu unaofanya wew hapa. Badala ya kushiriki kuijenga nchi unashiriki kuibomoa kisa tu haukubaliani na serikali na wapumbavu wengine wa kawaida the likes of Maria sarungi, Twaha Mwaipa na huyo muuza maku Hilder Newton, hawana mchango wowote kwenye hii nchi, sasa na wewe usijaribu kuwa kama wao.
 
relax man he is another clown πŸ˜‚
 
Mbna wanajua salary ya fei ya mwezi ndo budget ya KPL nzima
 
tumeshindwa kumprote dar coach alianza vzr mpaka amekufa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii nchiπŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Hata dar coach sidhani kama anamjua huyo mluga luga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…