Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

rwanda hakupaswa kupitisha hata 1 liter kenya kutoka na geography ya tanzania lakini kwann anapitisha huko? mm na ww tunayo majibu?
 
uchumi wa saudia na kenya unafanana???
what about population between saudi and kenya? yani kuna vitu vingine nakujibu ila sikupaswa kabisa kukujibu
 
Officially confirmed. You are birdbrained 😂😂😂😂😂
 
uchumi wa saudia na kenya unafanana???
what about population between saudi and kenya? yani kuna vitu vingine nakujibu ila sikupaswa kabisa kukujibu
unaniuliza tena mm? wewe si umekuja na mada kwanza remitance kutumwa kenya means we are loosing au 😂😂😂 ulivokua unaropoka hukushirikisha rectum au? dont you know tanzania and congo ndo the only countries who earn dollars zaidi ya nchi zote za EAC even comparing trade between tanzania and kenya

 
sisi tumelala hata kuna kipindi kagame alitudharau sana kwasababu tumelala fofofo watu wanajimilikisha mali za umma tu
alafu hujui kwamba kuna pipeline inatoka dar straight mpaka SADC ama hauna rectum mwana etu maana unaongea pumba
 
Hizo viatu tena .. si uombe viatu pia sio
Pesa tu …🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Babu jinga wa "nipige picha nikiwa kama napiga simu"hizi style za miaka 1980 huko,kamwe utoona picha yangu mpya humu zaidi unazozijua,we mzee mshamba kweli 😃😃,so hapo unaongea na simu 🤣
 
Me
Kenyatta and Kenya names have no relation whatsoever…Thanks for playing retard 😂😂😂
 
View attachment 3697651
Babu jinga wa "nipige picha nikiwa kama napiga simu"hizi style za miaka 1980 huko,kamwe utoona picha yangu mpya humu zaidi unazozijua,we mzee mshamba kweli 😃😃,so hapo unaongea na simu 🤣
So nikiwa busy Kazini mtu anipige picha iko Makosa gani . The problem with you is joblessness. Hujui Kazi since you are used to omba omba … that’s why you pose on top of public space benches ( that’s primitive)😂😂😂😂😂😂😂💯
 
All items combined is how much worth? $3.8m or something maybe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…