Buses that have remained in Kenya are way better than whatever Katarama got.Mkuu there are only two units of these things from Indians garage in kenya .
funny enough there are none in Kenya , you only have Isuzu with lots of putty.
nachojiuliza mm kwann rwanda apitishe mombasa kwasababu hio distance ni mbali sana compare na tanzaniaUmefungua hiyo link?
aiseeeππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
wameenda na wakati sana na elimu imewasaidia sana alaf nimegundua hata hzi marcopolo zote bongo ni from AVA kenya, alaf not only bus naziona mpaka truck trailer zao Bhachu, ATL, AM trailers, Transtrailers etc ( tankers, flatbed and tipper) zimejaa tanzania, wamejitahidi sana kwenda na wakatiWe used to have such rigs on roads during 1990s, we had body builders sijui fabricators whatever the names haha, we still have local body builders but due to technology advancements, consumer evolving needs, industry rivalry, high product sophistications and differentiation,
and intensive competition, local body builders fail to survive the market dynamics. I wonder you guys have such rigs leo 2026 π
Thatβs commendable, says I
u mean TAZAMAππππ and ur serious?alafu hujui kwamba kuna pipeline inatoka dar straight mpaka SADC ama hauna rectum mwana etu maana unaongea pumba
lakini sijamuona unless utoe data zako za kichawa again πππππKwan haujui rwanda ni mmoja wa wamiliki wa kenya pipeline?
Share the link.Humphrey Kariuki
David Lang'at.
Check at their Tanzanian portfolios.
tanzania kwenye export inabebwa na gold reserve za nchi zinazouzwa ambayo inaingiza kwa sasa almost 5.2b usd lakini ukipiga hesabu za manufacturing goods and services pamoja na tourism ambayo bado haiingizi vile ipasavyo kutokana na hifafhi tulizonazo yani ni vituko vya alinachaunaniuliza tena mm? wewe si umekuja na mada kwanza remitance kutumwa kenya means we are loosing au πππ ulivokua unaropoka hukushirikisha rectum au? dont you know tanzania and congo ndo the only countries who earn dollars zaidi ya nchi zote za EAC even comparing trade between tanzania and kenya
View attachment 3697652
David Lang'at controls 90% of Tanzanian tea market, both at the farming, processing and exporting stage. Just Search for DL Group Company.Share the link.
I got none
leo mauzo ya korosho kabla ya kuongezwa mnyororo wa thamani ni 1.45 trillion tsh, tunzalaisha zaidi ya tons 520,000 alaf mauzo ya korosho kabla kuongezewa thamani ni 410,000 tons iliobakia ndio hio inapita kwenye viwanda vidogo kuongezewa mnyororo wa thamani, leo tungewekeza heavily kwenye viwanda vya korosho tukaongeza thamani wenyewe na kutafuta masoko duniani, kwanza ajira zingepatikana lukuki na serekali ingekusanya kodi na bado export amout ingekua over 2.5 trillions, lakini kilichopo korosho zinaondoka nchini kama raw material zinaenda kwa wenzetu zinapita viwandani zinaongezewa thamani, ajira zinapatikana na kodi za serekali zao alaf wana export tena na waotanzania kwenye export inabebwa na gold reserve za nchi zinazouzwa ambayo inaingiza kwa sasa almost 5.2b usd lakini ukipiga hesabu za manufacturing goods and services pamoja na tourism ambayo bado haiingizi vile ipasavyo kutokana na hifafhi tulizonazo yani ni vituko vya alinacha
sasa ikiwa nchi imejaaliwa ardhi yenye rotuba kwa asilimia kubwa bado inaagiza sukari ya 510m usd kwa mwaka
nchi zamani ilikua ikilima ngano huko moshi na sasa inai cost nchi kuagiza ngano za almost 396m usd kwa mwaka
mafuta ya kupikia wakat zamani kulikua kuna viwanda vya mafuta ya mchikichi kila kona ya nchi leo viwanda vimekufa vyote na tunaagiza mafuta ya kula kwa zaidi ya asilimia 90 na cost yake ni zaidi ya 200m usd kwa mwaka
hapo sijagusa other commodities like basmat rice ambayo tunaagiza kwa zaidi ya 16.5m usd hapo tumejaaliwa kila kitu
achilia mbali services and transport ambayo kila kitu tunaagiza na cost yake ni billions usd ambayo haielezeki tunaagiza mpaka stick za kuchokonolea menoππ
alaf tunalalamika cancer na kisukari imeongezeka tanzania ikiwa tunashindwa ku secure food tukazalisha wenyewe tukaacha na importation of food ambayo zinakuja hatujui wameweka nn ndani au sometimes hata sukari inaingia isha expire wana rebag again, alaf tunakimbilia tena kwao kununua machine za cancer ambazo zina cost millions of usd na bado matibabu na madawa again millions usd huku maintenance cost yake ni millions
sijui alieturoga sisi ni nani ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
ukiachana na cancer ya maradhi kuna cancer nyingine inaitwa uchawa
kwamba sio pipeline hio π π π au ni slum hiou mean TAZAMAππππ and ur serious?
Gold? π π π π tuonyeshe wap kenya na tanzania wamefanya biashara ya dhahabu ππππtanzania kwenye export inabebwa na gold reserve za nchi zinazouzwa ambayo inaingiza kwa sasa almost 5.2b usd lakini ukipiga hesabu za manufacturing goods and services pamoja na tourism ambayo bado haiingizi vile ipasavyo kutokana na hifafhi tulizonazo yani ni vituko vya alinacha
sasa ikiwa nchi imejaaliwa ardhi yenye rotuba kwa asilimia kubwa bado inaagiza sukari ya 510m usd kwa mwaka
nchi zamani ilikua ikilima ngano huko moshi na sasa inai cost nchi kuagiza ngano za almost 396m usd kwa mwaka
mafuta ya kupikia wakat zamani kulikua kuna viwanda vya mafuta ya mchikichi kila kona ya nchi leo viwanda vimekufa vyote na tunaagiza mafuta ya kula kwa zaidi ya asilimia 90 na cost yake ni zaidi ya 200m usd kwa mwaka
hapo sijagusa other commodities like basmat rice ambayo tunaagiza kwa zaidi ya 16.5m usd hapo tumejaaliwa kila kitu
achilia mbali services and transport ambayo kila kitu tunaagiza na cost yake ni billions usd ambayo haielezeki tunaagiza mpaka stick za kuchokonolea menoππ
alaf tunalalamika cancer na kisukari imeongezeka tanzania ikiwa tunashindwa ku secure food tukazalisha wenyewe tukaacha na importation of food ambayo zinakuja hatujui wameweka nn ndani au sometimes hata sukari inaingia isha expire wana rebag again, alaf tunakimbilia tena kwao kununua machine za cancer ambazo zina cost millions of usd na bado matibabu na madawa again millions usd huku maintenance cost yake ni millions
sijui alieturoga sisi ni nani ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
ukiachana na cancer ya maradhi kuna cancer nyingine inaitwa uchawa
hivi mnaskia hii rectumDavid Lang'at controls 90% of Tanzanian tea market, both at the farming, processing and exporting stage. Just Search for DL Group Company.
Humphrey is a big fish in Tanzanian energy sector, the guy even owns a 40MW powerplant in Tanzania. Just Search JCG.
sasa gari za wahindi unataka tuzifanyie nn π π π tuseme katika buses zote bongo na makampuni yote yaliopo ukaweka zile katarama 3 kama ndo big bus za bongo au πππ hueleweki sepengamaster and banbros kenyaππ»ππ»ππ»ππ»
View: https://www.instagram.com/p/Dev6cnCFWip/?mdxt=MWl2dTl0cXBkZGtkZQ==
View: https://www.instagram.com/p/Dbm4_LeDKm7/?obrf=NHI0cm9ueTR6bzBy
View: https://www.instagram.com/p/Db2Sv3nCpkd/?obrf=MWJydmQ3bmtjNnE2cg==
View: https://www.instagram.com/p/DZM4DdJHYKg/?vrfl=MXdlY2FhZzQ5bWUyYQ==
View: https://www.instagram.com/p/DSmdGwMFcX9/?dlrf=NWNrMXl3N2RkbnRo
View: https://www.instagram.com/p/DQLsBWIFRsE/?xtok=bW10bmcxZjBtcHJ5
View: https://www.instagram.com/p/DN2QnpNQgwq/?srtk=YTUzOW9zcXEzOHpj
sasa wewe mwanaetu kelele zote zilikua za nn kama hujui rwanda also own kenya pipeline πππ BTW no one takes you serious hata master nmekuuliza mmiliki nan but hujui ππ kwa kifupi we ni lifala tulakini sijamuona unless utoe data zako za kichawa again πππππ
View: https://www.instagram.com/p/Dertlo4DT_s/?mdxt=MXBvMmRxdGxoMWpheA==
izo gari ni mbaya na hata ivo the company isnt owned by any kenyan π π π pole sanaBuses that have remained in Kenya are way better than whatever Katarama got.
Mombasa Raha
View attachment 3697860
View attachment 3697836
Bus Car
View attachment 3697858
View attachment 3697856View attachment 3697857
Abuya
View attachment 3697839View attachment 3697840
Habesha
View attachment 3697841View attachment 3697842
Rayan
View attachment 3697843View attachment 3697844
Moyale Star
View attachment 3697845View attachment 3697846
Super metro.
View attachment 3697847
Nurein
View attachment 3697848
Genesis
View attachment 3697849View attachment 3697850
Royal
View attachment 3697851View attachment 3697852
Dreamline
View attachment 3697854View attachment 3697855
Tahmeed
View attachment 3697859