stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Unatamani kuongea point lakini ndo ivo inatoka pumba 😂 😂 😂 unatamani watu waone umeongea cha maaana lakini wap pumba, kwamba umeshindwa kujua rwanda ana stakes kenya pipeline but sgr connects direct mpaka mlangoni kwake 😂😂 unatia hurumanachojiuliza mm kwann rwanda apitishe mombasa kwasababu hio distance ni mbali sana compare na tanzania
unatamani uonekane mtu lakini ndo ivo tena, 😂😂😂 unatamani kwel uonekane unaongea kitu cha maaana lakini wapaiseee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
and who owns AVA 😂😂 japo hakuna tena mtumiaji wa AVA bongo 😂😂😂wameenda na wakati sana na elimu imewasaidia sana alaf nimegundua hata hzi marcopolo zote bongo ni from AVA kenya, alaf not only bus naziona mpaka truck trailer zao Bhachu, ATL, AM trailers, Transtrailers etc ( tankers, flatbed and tipper) zimejaa tanzania, wamejitahidi sana kwenda na wakati
no i mean pipeline estate embakasy 😂😂u mean TAZAMA😆😆😆😆 and ur serious?
lakini sijamuona unless utoe data zako za kichawa again 😆😆😆😆😆
View: https://www.instagram.com/p/Dertlo4DT_s/?mdxt=MXBvMmRxdGxoMWpheA==
tanzania kwenye export inabebwa na gold reserve za nchi zinazouzwa ambayo inaingiza kwa sasa almost 5.2b usd lakini ukipiga hesabu za manufacturing goods and services pamoja na tourism ambayo bado haiingizi vile ipasavyo kutokana na hifafhi tulizonazo yani ni vituko vya alinacha
sasa ikiwa nchi imejaaliwa ardhi yenye rotuba kwa asilimia kubwa bado inaagiza sukari ya 510m usd kwa mwaka
nchi zamani ilikua ikilima ngano huko moshi na sasa inai cost nchi kuagiza ngano za almost 396m usd kwa mwaka
mafuta ya kupikia wakat zamani kulikua kuna viwanda vya mafuta ya mchikichi kila kona ya nchi leo viwanda vimekufa vyote na tunaagiza mafuta ya kula kwa zaidi ya asilimia 90 na cost yake ni zaidi ya 200m usd kwa mwaka
hapo sijagusa other commodities like basmat rice ambayo tunaagiza kwa zaidi ya 16.5m usd hapo tumejaaliwa kila kitu
achilia mbali services and transport ambayo kila kitu tunaagiza na cost yake ni billions usd ambayo haielezeki tunaagiza mpaka stick za kuchokonolea meno😆😆
alaf tunalalamika cancer na kisukari imeongezeka tanzania ikiwa tunashindwa ku secure food tukazalisha wenyewe tukaacha na importation of food ambayo zinakuja hatujui wameweka nn ndani au sometimes hata sukari inaingia isha expire wana rebag again, alaf tunakimbilia tena kwao kununua machine za cancer ambazo zina cost millions of usd na bado matibabu na madawa again millions usd huku maintenance cost yake ni millions
sijui alieturoga sisi ni nani 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
ukiachana na cancer ya maradhi kuna cancer nyingine inaitwa uchawa
umejaribu kuongeza mnyororo wa umaskini wako kwa kuongeza kusoma? 😂😂 maaana unaongea pumba as if unalala unaamka unaweka kiwanda cha kubagua korosho alafu straight unaanza kuuza , kwann usianze kwa kuongeza mnyororo wa umaskini kwako ili akili ikukae vizuri kidogoleo mauzo ya korosho kabla ya kuongezwa mnyororo wa thamani ni 1.45 trillion tsh, tunzalaisha zaidi ya tons 520,000 alaf mauzo ya korosho kabla kuongezewa thamani ni 410,000 tons iliobakia ndio hio inapita kwenye viwanda vidogo kuongezewa mnyororo wa thamani, leo tungewekeza heavily kwenye viwanda vya korosho tukaongeza thamani wenyewe na kutafuta masoko duniani, kwanza ajira zingepatikana lukuki na serekali ingekusanya kodi na bado export amout ingekua over 2.5 trillions, lakini kilichopo korosho zinaondoka nchini kama raw material zinaenda kwa wenzetu zinapita viwandani zinaongezewa thamani, ajira zinapatikana na kodi za serekali zao alaf wana export tena na wao
leo mauzo ya korosho kabla ya kuongezwa mnyororo wa thamani ni 1.45 trillion tsh, tunzalaisha zaidi ya tons 520,000 alaf mauzo ya korosho kabla kuongezewa thamani ni 410,000 tons iliobakia ndio hio inapita kwenye viwanda vidogo kuongezewa mnyororo wa thamani, leo tungewekeza heavily kwenye viwanda vya korosho tukaongeza thamani wenyewe na kutafuta masoko duniani, kwanza ajira zingepatikana lukuki na serekali ingekusanya kodi na bado export amout ingekua over 2.5 trillions, lakini kilichopo korosho zinaondoka nchini kama raw material zinaenda kwa wenzetu zinapita viwandani zinaongezewa thamani, ajira zinapatikana na kodi za serekali zao alaf wana export tena na wao
master and banbros kenya🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://www.instagram.com/p/Dev6cnCFWip/?mdxt=MWl2dTl0cXBkZGtkZQ==
View: https://www.instagram.com/p/Dbm4_LeDKm7/?obrf=NHI0cm9ueTR6bzBy
View: https://www.instagram.com/p/Db2Sv3nCpkd/?obrf=MWJydmQ3bmtjNnE2cg==
View: https://www.instagram.com/p/DZM4DdJHYKg/?vrfl=MXdlY2FhZzQ5bWUyYQ==
View: https://www.instagram.com/p/DSmdGwMFcX9/?dlrf=NWNrMXl3N2RkbnRo
View: https://www.instagram.com/p/DQLsBWIFRsE/?xtok=bW10bmcxZjBtcHJ5
View: https://www.instagram.com/p/DN2QnpNQgwq/?srtk=YTUzOW9zcXEzOHpj