ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
dunia ya leo huwezi kuficha facts sasa machawa kazi yao ni kusifia even if its not true yani wao kazi yao ni kugeuza ukweli kua uwongo nothing else, dunia hii ya leo with modern globalization utamdanganya nani hata mtoto wa miaka mitano anajua mambo mengi tofaut na mtoto wa miaka mitano ya huko 80s.Umeamua unawamaliza kwa facts. The reason wanakutusi is because they can't do facts.