ipi ilikua startegics ya kupunguza uagizaji wa sukari toka 2021 mpaka leo 2026 mpaka leo tumepunguza kuagiza sukari nje au tumeongeza???Kiwanda kipi cha sakari kimeuliwa? πππ
Tanzania nchi ya 6 kwenye nini? πππ
So shida yako ni marcopolo kutoka kunya badala ya South Africa!
Nanyi mlikuwa mnamuita hero ghala Leo mnamuona adui.ππWalikuwa wanamuita Mu-yemen ghafla leo wanamuona ni Mtanzania na ni hero! πππ
Unavyo uliza strategies za kupupunguza uaguzaje wa sukari kwani viwanda vipya Mkulazi Sugar na Bagamoyo Sugar vimeanza kufanya kazi lini? πππipi ilikua startegics ya kupunguza uagizaji wa sukari toka 2021 mpaka leo 2026 mpaka leo tumepunguza kuagiza sukari nje au tumeongeza???
Source ya hii taarifa nilijuaga ni World Bank kumbe ni World Data Lab.
That is not Bagamoyo you fool.Not yet but this one in Bagamoyo is complete. Nice work!β¦π«£π
View attachment 3694563
Hakuna aliyemuona adui, ndio maana tunamkosoa akiwa anapotosha.Nanyi mlikuwa mnamuita hero ghala Leo mnamuona adui.ππ
narudi kukuuliza swaliUnavyo uliza strategies za kupupunguza uaguzaje wa sukari kwani viwanda vipya Mkulazi Sugar na Bagamoyo Sugar vimeanza kufanya kazi lini? πππ
Ina maana hujui hata kuwa kuna viwanda vimefanya upanuzi!
Takwimu za Uzalishaji Sukari (2021β2026)
2021: Tani 367,718
2022: Tani 370,000
2023: Tani 460,048
2024: Tani 395,293
2025: Tani 453,383
2026: Tani 410,979 (hadi mwezi Aprili 2026)
Uwezo wa viwanda: takribani tani 800,000 kwa mwaka.
Mahitaji ya ndani: Makadirio ni takribani tani 550,000 kwa mwaka, ikiwa na maana kuwa uzalishaji umezidi mahitaji ya nchi.
Na pia Tanzania inauza sukari nje kuanzia mwaka 2025.
ππππππ hii tumeingia lini??Source ya hii taarifa nilijuaga ni World Bank kumbe ni World Data Lab.
Nakumbuka ulikuwa bingwa wa kukataa source uchwara saa hii ndo unazitumia. πππ
View attachment 3700167
Viwanda vipya vimeanza uzalishaji wa sukari.narudi kukuuliza swali
ni strategics gani so far zimepungusa matumizi ya kuagiza sukari kutoka nje ya nchi ??? kama tulivoona kipindi cha kutoka 2015 to 2021 tuliona uagizaji umepungua na unasimamia
World data lab! πππ
adui ni pale unapokosoa ila kudsifia uongo ni uchawa unakua mtu safi πππππNanyi mlikuwa mnamuita hero ghala Leo mnamuona adui.ππ
swali langu huwezi lijibu kwasababu ya rushwa na ukiritimba ulojaa πππππViwanda vipya vimeanza uzalishaji wa sukari.
1. Mkulazi sugar
2. Bagamoyo Sugar
Upanuzi wa viwanda
1. kilombero Sugar
kuongeza uzalishaji wa sukari kufikia tani 271,000 kwa mwaka.
2. Kagera Sugar
Kagera Sugar kinapanua uwezo wake ili kufikia uzalishaji wa tani 230,000 kwa mwaka.
Hivi unasoma na kufanya research au unabishana tu?
what ever ila nijibu kua huku tuliingia lini ???World data lab! πππ
Umeuliza strategies umejibiwa swali lako tena baada ya kugundua una uwezo mdogo wa kufikiri ikabidi nikutafunie ili uelewe vizuri, still bado hutaki. πππswali langu huwezi lijibu kwasababu ya rushwa na ukiritimba ulojaa πππππ
hapa tumefikaje to this stage nchi imekopa 51 trillions in 5 years ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»World data lab! πππ
πππ
World Data lab! πππhapa tumefikaje to this stage nchi imekopa 51 trillions in 5 years ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Africa Facts Zone
World's Highest Number of People Living in Extreme Poverty (2026) 1. Nigeria π³π¬ - 73.1 million 2. DR Congo π¨π© - 71.6 million 3. Afghanistan π¦π« - 35.2 million 4. Mozambique π²πΏ - 25 million 5....www.facebook.com
rudia swali niliokuuliza 2015 to 2021 tuliwezaje kupunguza matumizi ya import ya sugar na kutoka 2021 mpaka 2026 ikawaje tukashindwa kudhibiti importation ya sukariUmeuliza strategies umejibiwa swali lako tena baada ya kugundua una uwezo mdogo wa kufikiri ikabidi nikutafunie ili uelewe vizuri, still bado hutaki. πππ