Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mm pia lakini siwezi kuichukia nchi yangu Tanzania
Uzalendo ndio kipaumbele,kiafrika hakuna nchi lets say akiongoza mtu fulani ndio itakua kama europe au america never,nchi zote za kiafrika maisha yetu yanashabiiana so hata sioni sababu ya kuichukia nchi ambayo vijukuu vyangu vitakuja kuishi sababu tu ya siasa za chuki!
 
Yaani unachukua viposts vya wana harakati huko IG wakirifaa toka kwa takwimu za Mabeberu.

Nchi za kisoshalist or still maintain soshalist principles, namely:

China
Russia
North Korea
Vietnam
Tanzania
Belarus
Cuba

Hizi nchi hata zipige hatua vipi ni lazima ziscore low kwenye rating agencies zote za westerners kuanzia:

Human rights
Maendeleo
Democracy
Freedom
Governance
Safety
And so on.

Ni mtu tu mwenye limited understanding asiyeona wala kutambua hili.
 
Ya 7 kwa umaskini duniani halafu ya 12 kwa nchi zenye uchumi mkubwa afrika bila kusahau afrika ina nchi 52,sasa hizi nchi 40 zilizokua chini kiuchumi dhidi ya TZ zina hali gani!na ukiangalia miradi inayoendelea TZ kwa wakati mmoja hamna nchi ukanda huu inaweza kuendesha miradi yote hii kwa wakati mmoja,dar 80% ya barabara ziko under construction zile za tanroad na tarura
 
Na source yao ni World Data Lab. 😂😂😂
1793195594268.jpeg
 
Ya 7 kwa umaskini duniani halafu ya 12 kwa nchi zenye uchumi mkubwa afrika bila kusahau afrika ina nchi 52,sasa hizi nchi 40 zilizokua chini kiuchumi dhidi ya TZ zina hali gani!na ukiangalia miradi inayoendelea TZ kwa wakati mmoja hamna nchi ukanda huu inaweza kuendesha miradi yote hii kwa wakati mmoja,dar 80% ya barabara ziko under construction zile za tanroad na tarura
Tatizo hawa watu huokota takwimu bila kuapply reasoning.
 
Ya 7 kwa umaskini duniani halafu ya 12 kwa nchi zenye uchumi mkubwa afrika bila kusahau afrika ina nchi 52,sasa hizi nchi 40 zilizokua chini kiuchumi dhidi ya TZ zina hali gani!na ukiangalia miradi inayoendelea TZ kwa wakati mmoja hamna nchi ukanda huu inaweza kuendesha miradi yote hii kwa wakati mmoja,dar 80% ya barabara ziko under construction zile za tanroad na tarura
Mganga na Umbwa that's not how poverty rate is determined.
 
Back
Top Bottom