Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Nchi itaendelea kuwepo,watawala wanapita tu,ndio maana uzalendo unatakiwa uwe kipaumbeleUnaipenda nchi.
Unamchukia mtawala au mwanasiasa kwasababu anaiharibu nchi unayoipenda.
Sasa kama huipendi nchi, hata mwanasiasa akiivuruga kwanini umchukue kuharibu kitu usichokipenda?