Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa bwana fulani anasemaje?

Screenshot_20261028-212126.png
 
Wakati wanahangaika kujenga affordable housing huku wananchi wao wakiendelea kufa njaa, tz wanajenga irrigation schemes ili wananchi waendelea kuzalisha na kujitoa kwenye umaskini, ili huko mbele waje wajenge maghorofa yao
Kwani Sisi ndio hatujengi irrigation scheme?
 
Strange , you do have teams in Kenya don’t you ?
Launching a national stadium with foreign teams is something I have never seen it before , atleast invite a national team friendly with your Poor harambee stars, Or A foreign team Vs Local team.
I wonder how much did your corrupt government spent to bring those teams to Kenya.
Ujinga wa kiwango cha uzuzu,mazuzu wanajisifu kabisa,kuna m1 nimeona kasema "bayern unavyodhani watakubali kucheza kwenye kiwanja cha arusha" 😃😃
 
Ujinga wa kiwango cha uzuzu,mazuzu wanajisifu kabisa,kuna m1 nimeona kasema "bayern unavyodhani watakubali kucheza kwenye kiwanja cha arusha" 😃😃
Ingemake sense kama timu yao ya taifa au club yao kubwa ingealika timu kubwa ya Europe na sio eti unajenga uwanja halafu unalipa timu za nje kuja kuzindua, ila simlaumu maana ana uchaguzi mwakani lazima afanye vitu vya kupumbaza wapiga kura. 😂😂😂
 
Wenyewe wanafurahi kabisa 😃😃
 
Back
Top Bottom