Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

HAHA...GDP per capita ya Kenya ni 1200USD na Tanzania ni 694USD na bongolala hapa anafikiria eti Dar ina biashara nyingi. Tukifunga makampuni ya Kenya huko Dar watu zaidi ya laki moja wanalala njaa...Hahaha
Kenya watu wake wengi wanalala njaa ,ndio maana mnakimbilia Dar
Mnakuja kufanya nini huko si mbaki Nairobi kibera kwenye slums nyingi.Na tutaanza kampeni ya kuwatoa wakenya Dar, wengine wamefoji vyeti vya Tz
 
Ndugu hapa tunaenda step by step. Sasa hizo kelele peleka kibera. Hapa post picha maneno mengi kama muuza nyanya ya nini?
 
Tumekuja kuwaamsha. Unafikiria kwa nini sisi huwaita bongolala. Kampuni za China na US zinapokuja Africa yamaanisha eti nchi zao wanalala njaa?
 
Naona hapa tushamaliza,
wacha ni wape link
Top 200 Universities in Africa | 2016 University Rankings
In top 50 we have 7 universities Africa has 54 countries! Out of 54 countries, it means we are doing fine! Dar has 1 University of Dar es Salaam!
Hiyo chapter closed!
Another chapter? Annael?
 
Tumekuja kuwaamsha. Unafikiria kwa nini sisi huwaita bongolala. Kampuni za China na US zinapokuja Africa yamaanisha eti nchi zao wanalala njaa?
Wewe peleka povu huko hapa weka picha. Sio maneno .
 
Ndugu hapa tunaenda step by step. Sasa hizo kelele peleka kibera. Hapa post picha maneno mengi kama muuza nyanya ya nini?
Picha tuu bila taarifa zaidi? Nigetegemea kama ni kuzungumzia aspect flani na pia mgekua mnaweka na "references", kama vile wewe umekuwa ukdemand hapa kila mara mtanzania mwenzako akisema kitu kuhusu Kenya usichokubaliana nacho. Wewe mwenyewe umekiuka sheria zako kwa kudai Dar iko mbele kwa hili na lile bila kuweka evidence yoyote kusupport madai yako.
 
Wacha maneno weka mziki
 
hapa dar itashinda tu kwa city master plan
 
Hicho ni Kiswahili ulichokiandika hapo ama ni Kisukuma?
Eti mnajidai mitanzania na Kiswahili, wapi na wapi?
Aibu tupu!
Hahaa sikia wewe kiswahili cha TZ kina swanga sawa na huwezi kuzijua swanga za DAR kama wewe sio mzariwa wa TZ. ok kwasababu kiswahili nicha TZ naweza kukifanya chochote nitacho mimi nasio wewe hahhaaaa wa kenya na kiswahili wapi nawapi bana kazi kuitangazia Dunia kua nyinyi ndo wahanzirishi wakiswahili tena bira hata haibu mweeee. Hahahhahaa wakenya mna mambo kweli tabiazenu zakujisifia hujinga zime mponda fece miss world na 5
Hicho ni Kiswahili ulichokiandika hapo ama ni Kisukuma?
Eti mnajidai mitanzania na Kiswahili, wapi na wapi?
Aibu tupu!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] sikia wewe kiswahili cha TZ kina swaanga sawa. na huwezi kuzijua swanga za DAR kama wewe sio mzariwa wa TZ. ok kwasababu kiswahili nicha TZ naweza kukifanya chochote nitacho mimi nasio wewe hahhaaaa wa kenya na kiswahili wapi nawapi bana kazi kuitangazia Dunia kua nyinyi ndo wahanzirishi wakiswahili tena bira hata haibu mweeee. Hahahhahaa wakenya mna mambo kweli tabiazenu zakujisifia hujinga zime mponda fakes miss world na 5 hahaha kasema wamasai wana patikana kenya pekehake hahahahhahahahaa kweli nyie mkoradhi mtupe sum wa TZ SOTE TUFE ILANDO HAIWEZEKANI ...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
I can't help but notice Tanzanian universities buildings are so tacky. Why can't your universities get good Kenyan architects to do buildings for you like TPA, PSPF and your Parliament which were all done by Kenyans.
Kwikwikwikwikwi. Wewe fuatilia thread. Najua ninachokifanya sijakupatia vyuo kibao. Hicho ni chuo kidogo sana hapa bongo na bado kimewajambisha. Kwikwikwikwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…