Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Nimeishiwa vipi ilhali wewe huleti chochote! Halafu, usitudanganye, hapa ni kufananisha, sheria ya kusema picha tu nani kaileta! Hapa tunapima kila kitu! Usituambie picha tu, na hata picha zenyewe umeshindwa kuleta!Wewe wacha mchecheto mbona unataka kuhamisha magori. Wewe weka picha kama umeishiwa sema nianze kuweka sawa?
Ntashindwa kwa university inakaa hivi?Dalili za kushindwa hizo.
hahahaha
Najibu jamaa yako fulani hapa forum! Hay twende!Wewe tulia mbona unamchecheto? Hapa unatakanianze kufuatilia picha zako? Mbona unalalamika sana tatizo lako nini? Wewe weka picha mbona umekalia kulalamika tu.
Niendelee ama?hahahaha
Endelea mkuu nijichange vyuo gani uko2vya medical ?Niendelee ama?
Ok sawa!Nitajie vya medical
hahaha hapa tulia kwanza walete comebacks hii ni 10-0. Next topic ikuje tu.Niendelee ama?
Basically in Kenya Schools of different careers are incorporated in universities, it is only aviation and Tourism that is not part of the universities. But we do have some stand alone Medical institutes in Nairobi such us KEMRi and Kenya School of MedicineNitajie vya medical
National institute of transport tanzania
View attachment 457378 View attachment 457379 View attachment 457380 View attachment 457381 View attachment 457382 View attachment 457383
Nilikuwa nakula nakuja sasa kukupa mambo.