Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Nimeishiwa vipi ilhali wewe huleti chochote! Halafu, usitudanganye, hapa ni kufananisha, sheria ya kusema picha tu nani kaileta! Hapa tunapima kila kitu! Usituambie picha tu, na hata picha zenyewe umeshindwa kuleta!Wewe wacha mchecheto mbona unataka kuhamisha magori. Wewe weka picha kama umeishiwa sema nianze kuweka sawa?