Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha hapo DIT kuna Mainframe Computer kama haujui. Nimeweka kwa makusudi kabisa maana huko kwenu hakuna kitu hicho. Wacha kulia lia wewe.
Uongo huo Anneal! Lakini haina wasi, twende,
Graffins College




 


HAHAHAHAHAHHAAHHAHA.😀😀😀😀😀😀😱😱😱...FaizaFoxy aje huku akakupe darsa mwana, ikiwa hichi ndicho hicho kiswahili chenu wewe ukiwa mstari wa mbele mwenyewe mmiliki hati wa lugha bila shaka watu wa PATE na LAMU kwnye PWANI ya Kenya wamo matatani.
 
Vipi tena jamani, si bado hiyo ni University of Dar es Salaam!!! Acha hizo bana, Tupe universities zingine!
Bado sijaweka University of Dar es salaam. Wewe subiri nitaiweka tu kaa mkao wa kula.
 
Bado sijaweka University of Dar es salaam. Wewe subiri nitaiweka tu kaa mkao wa kula.
Sawa lakini usiweke Schools zake kutufanya tudhani ni university nyingine tuko rada jamaa!
Kisha tena ulikosea, Kuweka hiyo main frame hapo maana kulingana na link yako sio ya hapo!

Kosa jingine ujue main frame sio kitu geni Kenya! Ulidhani hatuna lakini tunayo! In fact in the IBM master your Mainframe 2 Kenyans emerged among top three!


IBM launches Mainframe Innovation Hubs in Kenya and South Africa
 
Umeishiwa sasa unaanza kuwaya waya sio?
Nilikuambia sahi niko number 18 out of 56!!!
Hiyo tu ni by the way! Vile nimeona unadhani Kenya hatuna Mainframe! Twende Kazi, Ila hiyo VETA iko down sana! Hiyo hatutahesabu! Halingani hata na shule ya msingi! Sincerely speaking! Hata wewe ukiiangalia kweli utahesabu kama ni chuo kikuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…