ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
Tubomoe au moyo unakuenda mbio 😀😀😀hahahhahahahahahah😀Nzuri, ila huu mji ukitaka uwe mji wa kisasa, itabidi kuubomoa na kujenga upya!! Nadhani hapo kwenye CBD kumekosa order kabisa, sisemi kwa kuweka ligi, ila ni ukweli.