Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es salaam Fish Market (Kivukoni)
 
Ukweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
Acha maneno wewe weka picha na references. Hayo mambo ya bra bra yalishapitwa na wakati. Wewe rejea kwenye mada kama huna reference basi baki kuwa mtazamaji sisi tutakufumbua macho.
 
Nimeishi dar na Nairobi. Nasema kwa uzoefu wangu
Hizo bra bra hazina naface hapa. Kwani nani hajaishi Nairobi? Unadhani sisi hatuijui Nairobi?
Nimekwambia acha bra bra. Kama hujui kitu kaa kimya sisi tukuletee. Usijifanye mjuaji wakati hujui. Nimekwambi wewe leta references za Nairobi. Wewe unakuja na maneno ya siasa.
Je?
1. Nairobi kuna BRT?
2. Nairobi kuna Island?
3. Nairobi Kuna uwanja mkubwa wa Taifa?
4. Nairobi kuna fish market?
5. Nairobi kuna daraja kama la Nyerere?
6. Nairobi kuna beaches?
7. Vipi kuhusu hotel za Nairobi na za Dar?

Wewe unakuja na bra bra hapa. Tatizo huna exposure. Umetokea porini na kwenda Nairobi. Sasa umerudi dar na huja wahi hata kutembea zaidi ya kwenda kazini na kurudi nyumbani kwako.
 

Hebu soma tena hayo maswali uliyouliza halafu uniambie kama hamna haja ya kukuwahisha kwa daktari wa magonjwa ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…