Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nothing.Naomba nikuchokoze kidogo Annael ....hehehee.....what do you have to say to this?
View attachment 456011
Naomba nikuchokoze kidogo Annael ....hehehee.....what do you have to say to this?
View attachment 456011
Ukweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
Ngonjera hatuzitaki hapaUkweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
Kwani Kampala siyo Jiji!!!Dar yatoshana Kampala. Tehehehe.... Sina swali lingine. Good day Good people.
Acha maneno wewe weka picha na references. Hayo mambo ya bra bra yalishapitwa na wakati. Wewe rejea kwenye mada kama huna reference basi baki kuwa mtazamaji sisi tutakufumbua macho.Ukweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
Kwani Kampala siyo Jiji!!!
Wacha dharau
Mkuu huo ndiyo ukweli Dar bado sana kwa Nairobi na wewe kama umewahi kuwa Nairobi unajua sema hapa mnafurahishana tu. Endeleeni lakini kuburudisha jamvi. Mi nasema kwa uzoefu wangu mkubwa wa miji hii miwiliNgonjera hatuzitaki hapa
Wewe soma kicha pita wima
Nimeishi dar na Nairobi. Nasema kwa uzoefu wanguAcha maneno wewe weka picha na references. Hayo mambo ya bra bra yalishapitwa na wakati. Wewe rejea kwenye mada kama huna reference basi baki kuwa mtazamaji sisi tutakufumbua macho.
Hizo bra bra hazina naface hapa. Kwani nani hajaishi Nairobi? Unadhani sisi hatuijui Nairobi?Nimeishi dar na Nairobi. Nasema kwa uzoefu wangu
Umewahi kufika Nairobi? Siyo kuangalia pichaWewe leta reference sio kutoa mapovu kama unakifafa.
Hizo bra bra hazina naface hapa. Kwani nani hajaishi Nairobi? Unadhani sisi hatuijui Nairobi?
Nimekwambia acha bra bra. Kama hujui kitu kaa kimya sisi tukuletee. Usijifanye mjuaji wakati hujui. Nimekwambi wewe leta references za Nairobi. Wewe unakuja na maneno ya siasa.
Je?
1. Nairobi kuna BRT?
2. Nairobi kuna Island?
3. Nairobi Kuna uwanja mkubwa wa Taifa?
4. Nairobi kuna fish market?
5. Nairobi kuna daraja kama la Nyerere?
6. Nairobi kuna beaches?
7. Vipi kuhusu hotel za Nairobi na za Dar?
Wewe unakuja na bra bra hapa. Tatizo huna exposure. Umetokea porini na kwenda Nairobi. Sasa umerudi dar na huja wahi hata kutembea zaidi ya kwenda kazini na kurudi nyumbani kwako.