LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sioni jambo jipya ktk picha zako.picha zako hazina tofauti na picha zilizo Keisha wekwa na watu wengine.tofauti ya zako na wao labda ni engo ya mpiga picha.majengo ni Yale Yale.huna jipya la kunishangaza kuhusu nairobi.Nimeona picha za Dar, napost picha za Nairobi, you decide
Nashangaa kwanini hawaleti viwanja vya starehe!?sioni jambo jipya ktk picha zako.picha zako hazina tofauti na picha zilizo Keisha wekwa na watu wengine.tofauti ya zako na wao labda ni engo ya mpiga picha.majengo ni Yale Yale.huna jipya la kunishangaza kuhusu nairobi.
haha, niko na mamia ya picha, wacha niuploadsioni jambo jipya ktk picha zako.picha zako hazina tofauti na picha zilizo Keisha wekwa na watu wengine.tofauti ya zako na wao labda ni engo ya mpiga picha.majengo ni Yale Yale.huna jipya la kunishangaza kuhusu nairobi.
Kama hiki??sasawa
haha, niko na mamia ya picha, wacha niupload
Mkuu kuwa fair basi, Bagamoyo siyo dsm, labda ungelinganisha Tanzania na Kenya, lkn umelinganisha Dsm na Nairobi. Bagamoyo inaingiaje wakati ipo mkoa wa Pwani?Islands. Hizi hazipo Nairobi kwahiyo itakuwa Nairobi imepigwa bao
Bongoyo Island
View attachment 455930 View attachment 455931 View attachment 455932 View attachment 455933 View attachment 455934 View attachment 455935
Bagamoyo haiko dsm kk, weka za kigamboni labdaKwahiyo dar es salaam imeizidi Nairobi kwa mambo ya Island si ndio. Umekubali hilo? Nataka ukubali hilo kwanza.
Sasa utakuwa unaleta fujo sasa hapa tupo kwenye battle tunaenda kwa utaratibu. Kwahiyo twende step by step. Zaidi ya hapo utakuwa unaleta fujo na kuharibu utaratibu.Kama hiki??View attachment 457892
Mbona una lazimisha bagamoyo hebu soma hapo kama kumeandikwa bagamoyo. Hapo ni Bongoyo hivi hujui kusoma?Mkuu kuwa fair basi, Bagamoyo siyo dsm, labda ungelinganisha Tanzania na Kenya, lkn umelinganisha Dsm na Nairobi. Bagamoyo inaingiaje wakati ipo mkoa wa Pwani?
Mwache aseme ukweliBaba hata kwenu kubaya tu mimi nahisi ungesema chochote juu ya currently DAR ila naona umeponda mpaka basi, Nairobi imetutukana sana na DAR yetu leo inaenda zaidi ya Nairobi bado hujaona baba!!! Hivi kweli public transport yetu na Nairobi unalinganisha au hukuwahi kwenda Nairobi! Mmmmmmhh haya bhana ila kumbuka kwenu kwenu tu.
kwa hiyo DSM haina visiwa?.kataa hilo kwanza.Mkuu kuwa fair basi, Bagamoyo siyo dsm, labda ungelinganisha Tanzania na Kenya, lkn umelinganisha Dsm na Nairobi. Bagamoyo inaingiaje wakati ipo mkoa wa Pwani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona una lazimisha bagamoyo hebu soma hapo kama kumeandikwa bagamoyo. Hapo ni Bongoyo hivi hujui kusoma?
Weka picha za maeneo ya kula bata hapo nairobi.tutakujibu accordingly.tupo vizuri.sasawa
haha, niko na mamia ya picha, wacha niupload
sasawaWeka picha za maeneo ya kula bata hapo nairobi.tutakujibu accordingly.tupo vizuri.
Alete vya dsm sasa, bagamoyo inaingiaje? Au kuna island dsm inaitwa bagamoyo?kwa hiyo DSM haina visiwa?.kataa hilo kwanza.