Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeona picha za Dar, napost picha za Nairobi, you decide
sioni jambo jipya ktk picha zako.picha zako hazina tofauti na picha zilizo Keisha wekwa na watu wengine.tofauti ya zako na wao labda ni engo ya mpiga picha.majengo ni Yale Yale.huna jipya la kunishangaza kuhusu nairobi.
 
Nashangaa kwanini hawaleti viwanja vya starehe!?
 
sasawa
sioni jambo jipya ktk picha zako.picha zako hazina tofauti na picha zilizo Keisha wekwa na watu wengine.tofauti ya zako na wao labda ni engo ya mpiga picha.majengo ni Yale Yale.huna jipya la kunishangaza kuhusu nairobi.
haha, niko na mamia ya picha, wacha niupload
 
Mall kubwa kabisa Kenya. Inafunguliwa Februari 14, kuna mall nyingi na Wakenya hujiburudisha huko
 
Mkuu kuwa fair basi, Bagamoyo siyo dsm, labda ungelinganisha Tanzania na Kenya, lkn umelinganisha Dsm na Nairobi. Bagamoyo inaingiaje wakati ipo mkoa wa Pwani?
Mbona una lazimisha bagamoyo hebu soma hapo kama kumeandikwa bagamoyo. Hapo ni Bongoyo hivi hujui kusoma?
 
Mwache aseme ukweli
 
Mkuu kuwa fair basi, Bagamoyo siyo dsm, labda ungelinganisha Tanzania na Kenya, lkn umelinganisha Dsm na Nairobi. Bagamoyo inaingiaje wakati ipo mkoa wa Pwani?
kwa hiyo DSM haina visiwa?.kataa hilo kwanza.
 
Loading...
290m, 160m, 200m, 280m
 
Attachments

  • 88ExteriorLatest.jpg
    21.5 KB · Views: 32
  • Upperhillsquare2-682x1024.jpg
    44.6 KB · Views: 33
  • traffic_mont.jpg
    32.3 KB · Views: 36
  • cpftower.PNG
    155.3 KB · Views: 36
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…