Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli mna muda wa kupoteza mimi ni mtanzania naishi dar na pia nimeishi nairobi na bado huwa naenda huko mara kwa mara bado hatujawafikia kwa majengo,infrastructue, entertainment na hata hizo future projects labda hiyo bahari tu
 
Dar unaishi wapi? na huwa unaenda nairobi wapi kufanya nini?
 
Asante kwa maoni yako.
 
Dar unaishi wapi? na huwa unaenda nairobi wapi kufanya nini?
ukute hawa ndio wale omba omba wa wa kitanzania wanaoranda randa mitaa ya nairobi.wanatuaibisha sana hawa watu sio siri.nilishakutana nao sana nairobi.
 
ukute hawa ndio wale omba omba wa wa kitanzania wanaoranda randa mitaa ya nairobi.wanatuaibisha sana hawa watu sio siri.nilishakutana sana nairobi.
Kweli kabisa. Sasa kafika toka mbuga za wanyama huko kisha akapelekwa mabwepande baadae akaplekwa na tapeli mmoja nairobi na kuzungushwa katikati ya mji. Sasa anarudi toka nairobi na kuja kukaa mabwepande akipitia njia ya bunju unategemea huyo mtu mtakuwa kwenye same frequencies!!?
 
ukute hawa ndio wale omba omba wa wa kitanzania wanaoranda randa mitaa ya nairobi.wanatuaibisha sana hawa watu sio siri.nilishakutana nao sana nairobi.
hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…