Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unapost towers ukiziita malls? Ushamba utakumaliza.
Kwikwikwikwikwi. Naona unaweweseka sio?
Siku imeanza tena naona mlijifurahisha sana. Battle inaendelea kwenye shopping centers
 
International Shopping Market - Kariakoo
Watu toka Africa nzima hukutana Kariakoo kununua bidhaa mbalimbali. Is Only a bigest market in E. Africa
 
What you huys are posting are not shopping malls, it means one thing, that Dar has three real malls compared to 36 in Nairobi! Since i started i have not posted any plaza, but malls! Where are Dar malls?

Wanapost plazas... Nimecheka yangu yote...
 
Toa ujinga wewe ina maan wewe unajua kiswahili kuliko mimi. Nenda kajifunze kiswahili ndio uje hapa. Ugolo unaitwa chewing tobacco kwa kingereza. Nenda basi kajifunze hata kwenye google translator.
Naam, nalijua kukuliko mwana, nalijua lafudhi yangu ,kimvita/Kenya kukuliko ewe zumbekukula kitanganyika!

kalb hayawan!
 
Wanapost plazas... Nimecheka yangu yote...
Tatizo akili zenu bado za kizamani. Wewe unadhani mall ni yele majengo ya kizamani yale ya kikiloni. Hapa Tanzania majengo ni ya kisasa yanaendana na wakati. Kunakuwa na one complex building. Chini shopping mall halafu juu wanaweza weka kazi zingine. Kwa sababu wewe bado ni mshamba na unaishi na akili za kikoloni ndio maana unashangaa. Kwikwikwikwikwi
 
Naam, nalijua kukuliko mwana, nalijua lafudhi yangu ,kimvita/Kenya kukuliko ewe zumbekukula kitanganyika!

kalb hayawan!
Sasa mbona unakenua kenua meno kama mwehu.
 

Wajaza seva na vitu vya kipuzi.
Ukiona bora pia waweza piga picha nchi zima ukabandike humu, unaonekana kituko tu mbele ya kadamnasi.
Nje ya Afrika Kusini na kusini mwa jangwa la Sahara,ni Kenya inayoshikilia nafasi ya pili kwenye orodha ya nchi zenye shopping mall kubwa na nyingi zaidi.(most formalizd retail market)
Wewe ni wa kupuuzwa tu sasa!
 


Weye mwana nimegundua kua hujawai tia guu nje ya kijiinchi hicho cha DUNIA YA TATU(LCD)/ Tanganyika, ni dhairi shairi!
 

YUUCK!.....WTF!!!...very ugly thirld world pictures....😱😱😱


yuck yuck!....wacha kuwaaibisha wtz wenzako...HAHAHAHAHAHAH
Sasa hizo ulizobandika hapo ni nini? hahahaaahha!
 

Kwikwikwikwikwi... Sasa mpaka mmeleta jiji lote.... Kweli Wadanganyika..Yiu make my days, i think you must be very good comedians
 
Unapost towers ukiziita malls? Ushamba utakumaliza.

Anapost vyumba na vijiduka/vi-mini-supermarket akiviita malls...hahahahah!...wengi wao hawalijui neno MALL.....wapuzi kupindukia!
Ni ushamba na kwa mwendo huu atajaza seva na mambo ya kishenzi, ana muda mwingi wa kupoteza huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…