Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii battle sio kulia lia. Wewe anzisha thread kisha post hizo picha utakavyo lakini sio kuharibia thread wenzako. Hapa tunaenda step by step. Sasa hivi tunaongelea issue za Internet. Nyie leteni picha tuone. Sio kuanza kutukana.
What you huys are posting are not shopping malls, it means one thing, that Dar has three real malls compared to 36 in Nairobi! Since i started i have not posted any plaza, but malls! Where are Dar malls?
good morning my queen.Wanapost plazas... Nimecheka yangu yote...
Hover boarding, this habit is infecting the whole of Nairobi like fire
![]()
View attachment 458636 View attachment 458637 View attachment 458638 View attachment 458639 View attachment 458640 View attachment 458641
Naam, nalijua kukuliko mwana, nalijua lafudhi yangu ,kimvita/Kenya kukuliko ewe zumbekukula kitanganyika!Toa ujinga wewe ina maan wewe unajua kiswahili kuliko mimi. Nenda kajifunze kiswahili ndio uje hapa. Ugolo unaitwa chewing tobacco kwa kingereza. Nenda basi kajifunze hata kwenye google translator.
Tatizo akili zenu bado za kizamani. Wewe unadhani mall ni yele majengo ya kizamani yale ya kikiloni. Hapa Tanzania majengo ni ya kisasa yanaendana na wakati. Kunakuwa na one complex building. Chini shopping mall halafu juu wanaweza weka kazi zingine. Kwa sababu wewe bado ni mshamba na unaishi na akili za kikoloni ndio maana unashangaa. KwikwikwikwikwiWanapost plazas... Nimecheka yangu yote...
Tatizo akili zenu bado za kizamani. Wewe unadhani mall ni yele majengo ya kizamani yale ya kikiloni. Hapa Tanzania majengo ni ya kisasa yanaendana na wakati. Kunakuwa na one complex building. Chini shopping mall halafu juu wanaweza weka kazi zingine. Kwa sababu wewe bado ni mshamba na unaishi na akili za kikoloni ndio maana unashangaa. Kwikwikwikwikwi

International Shopping Market - Kariakoo
Watu toka Africa nzima hukutana Kariakoo kununua bidhaa mbalimbali. Is Only a bigest market in E. Africa
View attachment 458710 View attachment 458711 View attachment 458712 View attachment 458713 View attachment 458714 View attachment 458715 View attachment 458716 View attachment 458717 View attachment 458718 View attachment 458719 View attachment 458720 View attachment 458721 View attachment 458722 View attachment 458723 View attachment 458724 View attachment 458725
Tatizo akili zenu bado za kizamani. Wewe unadhani mall ni yele majengo ya kizamani yale ya kikiloni. Hapa Tanzania majengo ni ya kisasa yanaendana na wakati. Kunakuwa na one complex building. Chini shopping mall halafu juu wanaweza weka kazi zingine. Kwa sababu wewe bado ni mshamba na unaishi na akili za kikoloni ndio maana unashangaa. Kwikwikwikwikwi
Wajaza seva na vitu vya kipuzi.
Ukiona bora pia waweza piga picha nchi zima ukabandike humu, unaonekana kituko tu mbele ya kadamnasi.
Nje ya Afrika Kusini na kusini mwa jangwa la Sahara,ni Kenya inayoshikilia nafasi ya pili kwenye orodha ya nchi zenye shopping mall kubwa na nyingi zaidi.(most formalizd retail market)
Wewe ni wa kupuuzwa tu sasa!
Unapost towers ukiziita malls? Ushamba utakumaliza.