Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baba kaondoka panya toka kenya wanajitawala. Nimerudi baba yenu. Mnasemaje watoto toka nairobi? Mnataka kukunwa?
 
demu mkali wa kikenya ana sura kama ya Rashid matumla[emoji23] [emoji125]
 
Tunaingia katika local alcohol drinks.
Vijana wa Nairobi mnasemaje madogo zangu? Depay anajinyea nyea tu hana picha yoyote ya ku post. Zaidi ya kuwa na maneno meengi kama demu aliyeachwa na mwanaume.
 
Tunaingia katika local alcohol drinks.
Vijana wa Nairobi mnasemaje madogo zangu? Depay anajinyea nyea tu hana picha yoyote ya ku post. Zaidi ya kuwa na maneno meengi kama demu aliyeachwa na mwanaume.

Hahahaha. You lost the plot long time ago Annael... Wewe ni joker tu..... Utaanza kutuonyesha Konyagi
 
Kwa hili hamtaweza ngoja nihamie kwenye sehemu nyingine.
 
Hahahaha. You lost the plot long time ago Annael... Wewe ni joker tu..... Utaanza kutuonyesha Konyagi
Kwikwikwikwikwi. Ujue tupo kwenye battle. Mbona dogo Depay maneno meeengi kama mkaanga sumu?
 
Things which are only in Dar es salaam
Sasa naanza vitu vilivyo dar pekee huko Nairobi hakuna hapa wataanza kukodoa macho tu.
Naanza na Beahes.
 
Kwikwikwikwikwi. Ujue tupo kwenye battle. Mbona dogo Depay maneno meeengi kama mkaanga sumu?

It's a missmatch Annael... hatuna battle na nyinyi... Standards zenu ni huko Mozambique.... Do that... and that should always get into your cabbage head.
 
Things which are only in Dar es salaam
Sasa naanza vitu vilivyo dar pekee huko Nairobi hakuna hapa wataanza kukodoa macho tu.
Naanza na Beahes.

Tihahahhaaaaa..... Kichwa lazima imeruka.. .. . Do a repost. Kazana kabisa nitakuwa ginish line kukushikia kamba na glucose.
 
Mbona za kawaida sana hafa Malindi peke yake itakutoa jasho jembamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…