Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

endelea kushusha vitu kamanda.tuliwapa nafasi siku nzima ya Leo,walishindwa kuitumia vizuri kuweka picha wakaitumia kupiga umbeya.

wenye battle yetu tumerudi ku-take over.dondoshaaaaaa.
Jamaa Depay inamuuma sana anatamani mambo haya, lakini masikini wa Mungu hajabahatika kuwa nayo.
 
Peleka hizo Sengerema.Kila wakati a vs b, c vs d.... Achana kabisa.
Kwikwikwi ndio sasa mjue mdomo mdomo wenu fungeni. Kelele zenu za kuizidi TZ ziishie kwenu hukoooo.
 
Jamaa Depay inamuuma sana anatamani mambo haya, lakini masikini wa Mungu hajabahatika kuwa nayo.
nimemwambia kama anataka kuja kuspend dar aseme nimtumie nauli,anasema anamuogopa mke wangu.eti anadai mke wangu akijua atapata "muhadhara".[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
It's a missmatch Annael... hatuna battle na nyinyi... Standards zenu ni huko Mozambique.... Do that... and that should always get into your cabbage head.
By the way Depay i visited Nairaland forum, na huko we are taking on big fish!!! jo'burg, Abuja, Lagos etc!!!! Huko mambo ni serious
 
Ni sawa, bahari na beach does not prove anything on Dar vs Nairobi at all, after you finish posting you come back to realize Nairobi is still mighty!
 
Waaaaaw! That is why we call it the beautiful city of Africa, National park, Mt Kenya, Mt Kilimanjaro Oooh My so lovely
i bet you can't say "waaaaaw"! again after you read this.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenye wivu wajinyonge [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamaa Depay inamuuma sana anatamani mambo haya, lakini masikini wa Mungu hajabahatika kuwa nayo.

Hahahaha..... Wewe mwenyewe hauna hata baisikeli ya Mbao unakimbilia tu google picha this picha that..... Masikini wa kutupwa
 
By the way Depay i visited Nairaland forum, na huko we are taking on big fish!!! jo'burg, Abuja, Lagos etc!!!! Huko mambo ni serious

Afadhali hata huko tuwachane na hii swimming pool.....Nairaland here we come.
 
Ni sawa, bahari na beach does not prove anything on Dar vs Nairobi at all, after you finish posting you come back to realize Nairobi is still mighty!
Kama hutaki acha. Wewe post vitu ambavyo vipo Nairobi Dar hakuna.
1. Hotels Dar zipo
2. Shopping mall zipo
3. Universities zipo
Sasa katika mambo ambayo Nairobi yapo na Dar yapo hiyo haiwezi ikaonesha utofauti kati na Dar na Nai.
Sasa tunataka vitu tofauti sasa ambavyo Nairobi vipo Dar hakuna. Mambo ya majengo majengo tumeshayaona.
 
Hahahaha..... Wewe mwenyewe hauna hata baisikeli ya Mbao unakimbilia tu google picha this picha that..... Masikini wa kutupwa
Masikini wa Mungu povu linakutoka. Unashangaa sana jinsi ulivyodanganywa shuleni na kukomaa kweli na kujiweka eti masikini wa Mungu kama wazungu. Kwikwikwikwikwi, masikini wa Mungu amekua na ameelewa saa amebaki kuweweseka.
 
We acha kutuzungusha! Tulikuwa tunalinganisha vitu vilivyoko miji hii miwili sio vile haviko umeshindwa kubali yaishe, kutafuta vijisababu haisaidii katu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…