Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bahari sio mji! Kama ni resorts sasa twende kazi
1. safari park Hotel

Dar iwe na Bahari ikose, hamna kitu kwa Nairobi
Issue za Hotells tulishatoka zamani sana. Halafu ni wewe mwenyewe ulikuwa unaweka vitu hivyo. We need different things. Sio kutupia vitu vile vile vinachosha wanaofuatilia thread.
 
Afadhali hata huko tuwachane na hii swimming pool.....Nairaland here we come.
Hahahaha they are discussing to run away hahahaha....I tell you this young girl,you can't run away from JF,once you are in,you are in forever,no out.do let me know you new ID on your return.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Masikini wa Mungu povu linakutoka. Unashangaa sana jinsi ulivyodanganywa shuleni na kukomaa kweli na kujiweka eti masikini wa Mungu kama wazungu. Kwikwikwikwikwi, masikini wa Mungu amekua na ameelewa saa amebaki kuweweseka.

Tehehehee.... Uzuri sikudanganywa shuleni kwamba Danganyika ni nchi masiki hata Rais wao hajui kwa nini nchi ni masikini ya mbwa... Hiyo sikudanganywa. Kwikwikwi. Kwe kwe
 
We acha kutuzungusha! Tulikuwa tunalinganisha vitu vilivyoko miji hii miwili sio vile haviko umeshindwa kubali yaishe, kutafuta vijisababu haisaidii katu!!!
Sasa mbona unaogopa kigezo hicho? Je hakuna kitu kipo Nai, Dar hakuna? Wewe weka vitu ambavyo vipo Nai, Dar hakuna na mimi nitaweka vitu ambavyo vipo Dar Nairobi hakuna.
Nitaweka vifuatavyo:-
1. Beaches
2. Bays
3. Cliff
4. Islands
5. Peninsula
6. Nyerere Bridge
5. BRT
7. Marine Tourism
9. Bing Market of the region
10. Marine transportation

Sawa ndugu. Kama umeogopa sema tuache tuende shindano la namna nyingine.
 
Tehehehee.... Uzuri sikudanganywa shuleni kwamba Danganyika ni nchi masiki hata Rais wao hajui kwa nini nchi ni masikini ya mbwa... Hiyo sikudanganywa. Kwikwikwi. Kwe kwe
Sasa Back to battle. Usilie lie kama mtoto.
 
Sasa Back to battle. Usilie lie kama mtoto.

Tihahahhaaaaa. Solve this situation first. Acha kutuletea picha za net. Be a good student my boy.
Halafu nyie mi wana ccm msipende kubeba mawazo yetu wa tz wote,

Jamani Wakenya huku kwetu sehemu kibao zina njaa kali ila rais amewakataza wakuu wa mikoa na wilaya kutangaza kuwa wana njaa, pia kasema serikali haitatoa msaada wa chakula kwa yeyote, maana serikali sio iliyoleta njaa na anasema ni propaganda za wanasiasa na matajiri wamenunua vyombo vya habari ili kumkosoa...

Ila ukweli Tz kuna ukame na sehem kibao wana njaa kali ila viongozi wanamuogopa Rais ambaye mkali kama pilipili..

No freedom of speech hapa Tz , wasijisifu chochote ccm , hata mabehewa waliyonunua badala ya mapya waliuziwa ya zamani tena mabovu na aliyehusika saivi ni waziri wa sheria , hajagilushwa!
 
Ukilinganisha na nini? kama wataka vitu vya bahari, (Bahari sio uchumi) unda Uzi Dar Vs Kisumu sababu Mombasa itakusuasua uanze vituko kama hivi tena!!
 
Ukilinganisha na nini? kama wataka vitu vya bahari, (Bahari sio uchumi) unda Uzi Dar Vs Kisumu sababu Mombasa itakusuasua uanze vituko kama hivi tena!!
Hapa kwamba leta vitu vilivyoko Nai, Dar hakuna. Na mimi nitaleta vya Dar, Nairobi havipo.
 
Mbona povu. Back to the thread. Kama thread imekuzidi uwezo kaa pembeni. Sio kutoa povu tu kama umemeza sabuni.
 
Tehehehee.... Uzuri sikudanganywa shuleni kwamba Danganyika ni nchi masiki hata Rais wao hajui kwa nini nchi ni masikini ya mbwa... Hiyo sikudanganywa. Kwikwikwi. Kwe kwe
wewe na hao walimu wako wote ni wajinga.itabidi urudi shuleni/chuoni kwako kuwadai pesa uliyowalipa kama ada.

kuna masuala muhimu hawakukufundisha.nchi uliyofundishwa shule kawa ni maskini,kuna wakati inaiuzia kenya chakula mnapo kumbwa na balaa la njaa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona povu. Back to the thread. Kama thread imekuzidi uwezo kaa pembeni. Sio kutoa povu tu kama umemeza sabuni.

Si wewe unatoa povu na kutoa picha za slums??? Don't be hypocritical
 
kwa kuwa nairobi hawana bahari,wameamua kutuletea picha za mabwawa ya hotelini.wakenya bhana.kubarini kwamba tumewachapa.thread imewazidi uzito.
 
Ukunda and southern palm beach...

Attachments

  • 02.jpg
    11.3 KB · Views: 61
kwa kuwa nairobi hawana bahari,wameamua kutuletea picha za mabwawa ya hotelini.wakenya bhana.kubarini kwamba tumewachapa.thread imewazidi uzito.
Yaani hapa nimewaambia walete suggestion wamebaki kukodoa macho tu. Sasa hivi wanaleta mabwawa ya kuogelea. Sasa sijui wanafikiri hayo mabwawa hayapo tanzania au sijui kitu gani. Yaani wanajua wapo na vitu viwili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…