Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"Dar es salaam is building a biggest dry port in Ruvu"........ Rest in Peace English
wew acha uzamani usiwe mzee hii ni Dar mpya kasi yenu ndogo kuliko sis dar kwa kipindi kifupi imechange tena na bado mtakiona cha moto.....nairobi yenu si kitu ipo kawaida sana usijichekeshe we ingia google utapata ukweli hizo ni takwimu za kimataifa.....nyie bado local tu
 

Vipi jamaa unaonesha ulimbukeni? Mwazno umetokea wapi? Ama wewe mgeni JF?? Hujui kwamba Dar tumeifanyia uchambuzi wa kina tayari hapa JF tukaijua?? Unadhani ukizidi hayo majumba matano Dar kuna nini?? BRT?? BRT yenye inapita vichochoroni. Hebu ona ya Nairobi inavyopangwa. Sisi hatupindi kuongelea mambo yajayo, ndio maana hamjasikia, ile siku ikija, picha ndio mtaziona hapa. Usijisifu na BRT ambayo hata management imekuwa taaban, huku zinabeba mfano wa mkokoteni!!

Watch this space,



Hiyo miti hata haitakuzwa, nikubadilisha tu surface.

Hivi sasa inakaa hivi


Dar, tuliiweka League ya Mombasa, na tukajadili sasa wewe vipi jamaa??
 
Do you understand what post say ?
 
ndugu zangu wakenya mjiongeze bhana ...msikurupuke huko mnavyojenga na sisi huku tunafanya yetu yakijanja zaidi tena ya kasi zaidi msilemae na hyo Nairobi yenu kwani ni yakawaida sana
 
Do you understand what post say ?
 
ndugu zangu wakenya mjiongeze bhana ...msikurupuke huko mnavyojenga na sisi huku tunafanya yetu yakijanja zaidi tena ya kasi zaidi msilemae na hyo Nairobi yenu kwani ni yakawaida sana

Nionyeshe barabara ya jiji lenu iwe karibu na hii niloweka, nirudie uangalie vizuri
 
Umenufurahisha sana unaonesha picha ya future plan ya BRT wakati haipo hata kwenye budget yenu sio leo wala kesho so tuoneshe real pics usiogope hahahahhahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…