Vipi jamaa unaonesha ulimbukeni? Mwazno umetokea wapi? Ama wewe mgeni JF?? Hujui kwamba Dar tumeifanyia uchambuzi wa kina tayari hapa JF tukaijua?? Unadhani ukizidi hayo majumba matano Dar kuna nini?? BRT?? BRT yenye inapita vichochoroni. Hebu ona ya Nairobi inavyopangwa. Sisi hatupindi kuongelea mambo yajayo, ndio maana hamjasikia, ile siku ikija, picha ndio mtaziona hapa. Usijisifu na BRT ambayo hata management imekuwa taaban, huku zinabeba mfano wa mkokoteni!!
Watch this space,
Hiyo miti hata haitakuzwa, nikubadilisha tu surface.
Hivi sasa inakaa hivi
Dar, tuliiweka League ya Mombasa, na tukajadili sasa wewe vipi jamaa??