Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umenufurahisha sana unaonesha picha ya future plan ya BRT wakati haipo hata kwenye budget yenu sio leo wala kesho so tuoneshe real pics usiogope hahahahhahha

Si usome post nimeandika kwa kiswahili unaogopa kusoma, ni uvivu,

Nimesema, sio tabia yetu wakenya, nivile tu, unadhani BRT ni jiji!! Pili, wewe unadhani kama hakuna mpango, nimetoa wapi Renders?? Mradi huwa unapendekezwa, study ifanywe ya mazingira na faida zake, kisha plani zichorwe, kisha ijengwe. Hio sasa imefika planing stage, ndio maana unaona picha kama hizo, ama unadhani mimi nimechora?

Haya basi achana nayo, nilikuwa tu nakujulisha. Ujue Dar iko league ya Mombasa na tulimaza hayo, Ona Mombasa hapa
level ya Dar


 
Mombasa nikiipa Mwanza tu haitoboi is mombasa a city nimekuja juzi from lungalunga to mombasa city Barbara zote mbovu city majengo yamechakaa
 
Mwanza city hio
 

Attachments

  • mwanza_town.jpg
    87.9 KB · Views: 67
  • Tampere park on the left below.jpg
    212.1 KB · Views: 90
  • ImageUploadedByJamiiForums1460528795.409325.jpg
    94.3 KB · Views: 57
  • mwanza Lake view.jpg
    161.6 KB · Views: 91
siku nyingine usirudie mombasa huwezi ifananisha na dar hata siku moja ....pitia tips za kimataifa takwimu zakisomi utajua mim nimeishi nairobi na pia hata mombasa hamna cha kilichonishangaza hata kidogo...kawaida tena sana tofauti ni mademu wenu wanashobokea sana washikaj wakibongo.
 
No need to argue with Tanzanians..they always disparage facts in favour of emotions. That is why they will tell you Arusha beats Nairobi hands down even if the facts does not support it...save your argument for other reasonable people. They argue using emotions instead of logic
 

Sema basi, unaendelea??
 
Atasema na kisumu is a city taxi huko ni baiskeli unaambiwa 10 Bob kwenda town eti is a city hahahahhahahha
 
Wakenya siku zote wao wanajiona superior kumbe hawajui tumenyamza tunajenga nchi kimya kimya na leo hawajui ukame na njaa kwao umesababishwa na Tanzania kuzuia mazao kwenda kwao na magufuli

Pwahahahaa.... Ukame is a climatic phenomenon cabbage head. Ptoh.... Don't show your ignorance here
 
Mombasa nikiipa Mwanza tu haitoboi is mombasa a city nimekuja juzi from lungalunga to mombasa city Barbara zote mbovu city majengo yamechakaa

Mwanza is the size of Nakuru. We finished this competition long time ago. You are bavk from the dead or what????
 
Mwanza is the size of Nakuru. We finished this competition long time ago. You are bavk from the dead or what????
Nakuru is not a city my friend nakuru naifananisha na moshi hahahaha
 
Pwahahahaa.... Ukame is a climatic phenomenon cabbage head. Ptoh.... Don't show your ignorance here
Kawaulize wachumi wenu ndio wanajua njaa nani kasababisha, magufuli kazuia over hundred trucks of maize zisiende kenya we unajua nn kula miraa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…