Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimefika nairobi , nakuru,mombasa,kisii,kericho homabay,migori, naivasha,malindi,
Unathani wangapi wametuambia hivyo ..karibu kila mtu jf(tanzanian)amefika hizo places ...we are not stupid ..iam kenyan na mimi mwenyewe most of the places sijaenda ..
 
Julia

Lia wakat mliingizwa mjini na wabongo ndio maana manzi wa Kenya wanapenda chalii wakibongo wanajua kuvaa wanajua freestyle sio nyie munavaa koti kwenye jua Kali uonekane kma mzungu idiot
Toddler ...just shut the hell up kama huna point ...hii thread ya kenya ni ya serious people ..huku hatueki watu wapumbavu
 
Kawaida yenu kucheka kwa dharau lakin ukweli ndio utake usitake leo nimeona habari mkenya anakwambia willy smith yuko Serengeti Kenya haha hata kipofu anajua Serengeti iko Tanzania munashangaza dunia...mumejaa ujinga tu
Hayo ni mapuuzi sana sijawahi kuona
 
The three year old new Business district, Upper hill. Now we have three business Districts in Nairobi
16422430_683672468472147_4561387602436073939_o.jpg


Old CBD
302707497_f2b4f37f0b_o.jpg


african-cities-nairobi.jpg


Third Business District, Westlands
12568115_438052593060914_1950866929_n.jpg



13768187_2082824788610327_991226363_n.jpg


14482961_192538647847655_7955424161235468288_n.jpg


C3g2gEMWQAEwTgq.jpg


Other Business District Coming up
Kilimani
14073216_295928197434308_1462557392_n.jpg


13397417_241374862911483_726718433_n.jpg


Langata

12224464_538555669628590_1937734522_n.jpg



Nearly four business districts, Tell me (With use of Images, to Show no house repeats) Four Business districts in Dar
 
Watanzania maskini kulia lia ati wametembea kenya ..name the place you travelled tujue ..hii tabia yenyu ya utoto tunaijua ...can someone post nairobi photos hawa newcomers wakimye
Tabia yenyu hahaaaahaaaahaaa kweli waliokimbia umande utawajua
 
The three year old new Business district, Upper hill. Now we have three business Districts in Nairobi
16422430_683672468472147_4561387602436073939_o.jpg


Old CBD
302707497_f2b4f37f0b_o.jpg


african-cities-nairobi.jpg


Third Business District, Westlands
12568115_438052593060914_1950866929_n.jpg



13768187_2082824788610327_991226363_n.jpg


14482961_192538647847655_7955424161235468288_n.jpg


C3g2gEMWQAEwTgq.jpg


Other Business District Coming up
Kilimani
14073216_295928197434308_1462557392_n.jpg


13397417_241374862911483_726718433_n.jpg


Langata

12224464_538555669628590_1937734522_n.jpg



Nearly four business districts, Tell me (With use of Images, to Show no house repeats) Four Business districts in Dar
Wekeya huyu jamaa southern bypass
 
nyie wote sikilizeni hapa, kwanza munatakia mjue mambo mengi kuringanisha city of dar es salaam and Nairobi. dar es salaam ni biggest urban city by 1590.5 km square while nairobi ni 696 km sq, dar es salaam has more housing and more building projects,dar es salaam has longest modern stayed bridge in east and central Africa, dar es salaam has modern BRT in east and central africa, kariakoo in dar es salaam is a biggest and busiest market in east Africa, dar es salaam has modern beaches than even Mombasa, kunduchi wet n wild in dar es salaam is a biggest water park in east and central africa, NHC morocco square taunted as a biggest housing project in east and central Africa, dar es salaam has a tallest completed building in east and central Africa, terminal 3 julisu nyerer int airport once completed will be the modern airport in east and central africa, SGR once completed in tanzania will run electric train while SGR in kenya wont, etc
Hiki kiswahili au nini?
 
Back
Top Bottom