Unathani wangapi wametuambia hivyo ..karibu kila mtu jf(tanzanian)amefika hizo places ...we are not stupid ..iam kenyan na mimi mwenyewe most of the places sijaenda ..Nimefika nairobi , nakuru,mombasa,kisii,kericho homabay,migori, naivasha,malindi,
Toddler ...just shut the hell up kama huna point ...hii thread ya kenya ni ya serious people ..huku hatueki watu wapumbavuJulia
Lia wakat mliingizwa mjini na wabongo ndio maana manzi wa Kenya wanapenda chalii wakibongo wanajua kuvaa wanajua freestyle sio nyie munavaa koti kwenye jua Kali uonekane kma mzungu idiot
Wewe ambaye umesoma uliona hakuna upgrade??! Ama kizungu kilikulemea.kasome SGR ya kenya u cant upgrade any how to electric trains kasome hapa hakuna porojo
ha haaaa sema wew unaikubali bongo kiaina...Unafikiri mimi ni kama wewe umeforge cheti mpaka cha kipaimara
Hayo ni mapuuzi sana sijawahi kuonaKawaida yenu kucheka kwa dharau lakin ukweli ndio utake usitake leo nimeona habari mkenya anakwambia willy smith yuko Serengeti Kenya haha hata kipofu anajua Serengeti iko Tanzania munashangaza dunia...mumejaa ujinga tu
Tabia yenyu hahaaaahaaaahaaa kweli waliokimbia umande utawajuaWatanzania maskini kulia lia ati wametembea kenya ..name the place you travelled tujue ..hii tabia yenyu ya utoto tunaijua ...can someone post nairobi photos hawa newcomers wakimye
Wekeya huyu jamaa southern bypassThe three year old new Business district, Upper hill. Now we have three business Districts in Nairobi
Old CBD
Third Business District, Westlands
Other Business District Coming up
Kilimani
Langata
Nearly four business districts, Tell me (With use of Images, to Show no house repeats) Four Business districts in Dar
Hiki kiswahili au nini?nyie wote sikilizeni hapa, kwanza munatakia mjue mambo mengi kuringanisha city of dar es salaam and Nairobi. dar es salaam ni biggest urban city by 1590.5 km square while nairobi ni 696 km sq, dar es salaam has more housing and more building projects,dar es salaam has longest modern stayed bridge in east and central Africa, dar es salaam has modern BRT in east and central africa, kariakoo in dar es salaam is a biggest and busiest market in east Africa, dar es salaam has modern beaches than even Mombasa, kunduchi wet n wild in dar es salaam is a biggest water park in east and central africa, NHC morocco square taunted as a biggest housing project in east and central Africa, dar es salaam has a tallest completed building in east and central Africa, terminal 3 julisu nyerer int airport once completed will be the modern airport in east and central africa, SGR once completed in tanzania will run electric train while SGR in kenya wont, etc
We unaona nn hio?Hiki kiswahili au nini?