Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ardhi University
10337_511234075576298_734754818_n.jpg
169388_311138745644976_644523667_o.jpg
278141_176147799185183_1939247254_o.jpg
323436_320227308025240_204433273_o.jpg
465534_371468929555168_538768667_o.jpg
543994_306577409442827_1050897558_n.jpg
1452428_272782779537132_143664079_n.jpg
10410310_1447123332256250_3161668102300412154_n.jpg
12239941_497105830450198_9149682437249269671_n.jpg
12509309_10206865754095453_6661847312289802944_n.jpg
13239945_1792540760967390_4145460057400645697_n.jpg
ardhi-university-7.jpg
DSC_0463-1024x683.jpg
 
Nielezee kwanza ni MAHALAGE ya wapi ,afu ntatoka humu!....😀😀😀
Huwezi toka jf.umenogewa na mchezo mtamu ninaokufanyia.

fimbo kubwa yangu inafanya wakenya msiweze kuondoka jf.

mnajificha kwa mda,mkiwashwa mnarudi toka mafichoni ili tuwakune.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe weka picha zako. Hiyo MOI umeshaiweka mbona unarudia rudia? Mimi hapa sijarudia chochote. Halafu hebu soma hii taarifa hapa
JKUAT to acquire ICEA building for Sh2 billion
Hakuna mahali nimetia Moi University, This is the first nimetia, umechanganyikiwa, wala JKUA, Hata hapa JKUAT ni Campus tu! Yes it acquired the building fro ICEA lion an insurance company
 
Acha kuweweseka wewe. Mbona unaweweseka hivyo. Umeona vifaa vya chuo cha kairuki wewe!!? Mbona unaweweseka sana? Tulia dawa ikuiingie. Mimi nimekuacha sasa wewe umeanza kuchanganyikiwa wewe tulia.
Tulia bana siniwewe umepost hayo majumba! Wewe endelea kupost! mimi kwa sasa nimefika 15 universities, kwako nakupimia uko number 6! bado nina 40 twende!
 
Tulia bana siniwewe umepost hayo majumba! Wewe endelea kupost! mimi kwa sasa nimefika 15 universities, kwako nakupimia uko number 6! bado nina 40 twende!
Acha uongo usitafute sifa za uongo. Sawa ndugu wewe ingia kwenye vita acha kulia lia. Nilianza kidogo kidogo sasa hivi naanza kukupa za uso usikimbie bado nakuja. Acha kulia.
 
Ndio huu mjengo mpya wa Nairobi University uliokamilika mwaka uliopita

university-of-nairobi-chandaria-towers.png
 
Back
Top Bottom