Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Huyu nishagundua ni mshamba flani hivi katoka sijui Upareni/Usukumani juzi labda ata Uchaggani, kaingia huo mji mchafu wa dunia ya tatu uitwao Dar, kaona keshafika akhera.
Itokee siku tu,akakwee pipa na kutoka nje ya Bongo bas,kidogo atapatwa na msukumo wa damu.
Hutomwona abadan kahtaan humu JF na bandiko za kipuzi.
Itokee siku tu,akakwee pipa na kutoka nje ya Bongo bas,kidogo atapatwa na msukumo wa damu.
Hutomwona abadan kahtaan humu JF na bandiko za kipuzi.