Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Samahani ndugu
Huo uwanja ni wa Muscat international airport wa Oman na sio Julius nyerere international airport
Thanks man .you can see who we are dealing with here ..jamaa anaenda muscat kutuletea picha anasema ni jnia ...
 
We naona bado kichaaa kinakusumbua kichwan mwako angalia vzr alaf uje naona bado uko usingizini au unafkiri mm hua nabahatisha hahha hapa nakupa nondo tu
 
Thanks man .you can see who we are dealing with here ..jamaa anaenda muscat kutuletea picha anasema ni jnia ...
Naona vichaa vinawasumbua na bado hamtoamini hhahahhaa hii ndio dar es salaam jamaa anaota nimemwambia aangalie vzr maana alikua amelala, naona dar inawapeleka speed hapa mm sibahatishi hahahhahahha
 
Sibahatishi
wad6.jpg
wad7.jpg
 
Jamaa ...all these photos tulishaa ziona .wewe endelea kupost hadi pale orgasms zitakapo isha.Annael walishaa tuonesha everything ..hadi hizo za muscaat .sasa wajiona sana kuzirudia ukithani ati sisi wapumbavu ...endlea kupost hadi ile stage uta mature ndo utagundua utoto unaoufanya ....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usithani tumenyamaza cos uko worth kitu chochote ...hatutapoteza wakati ku argue na kitoto cha highschool ambacho kimeingia leo jf kinathani wakenya wote wapumbavu ...some guys here are mature.Rudia thread yote uone hizo picha za dar watu wengine mature walishaa zieka na wakanyamaza .
 
VP naona munaumia sana hahahhaahhahhahhaha nyie zaidi ya kupost barabara nakuzirudia munapost nn
 
Usithani tumenyamaza cos uko worth kitu chochote ...hatutapoteza wakati ku argue na kitoto cha highschool ambacho kimeingia leo jf kinathani wakenya wote wapumbavu ...some guys here are mature.Rudia thread yote uone hizo picha za dar watu wengine mature walishaa zieka na wakanyamaza .
Huzitaki au hutaki ukweli hahahhahhaah hakuna mtoto hapa makavu live tu
 
Na Sikh tukifun
Jamaa ...all these photos tulishaa ziona .wewe endelea kupost hadi pale orgasms zitakapo isha.Annael walishaa tuonesha everything ..hadi hizo za muscaat .sasa wajiona sana kuzirudia ukithani ati sisi wapumbavu ...endlea kupost hadi ile stage uta mature ndo utagundua utoto unaoufanya ....[emoji23][emoji23][emoji23]
Na Siku tukifungua rasmi tusije kimbiana hapa nakwambieni kabsa
 
Tunajua dar inaslums lakini hatitapost cos sisi mature ..hii thread ilikuwa ya kucompare vitu tofauti tofauti lakini wewe umesha derail thread na utoto mwingi ...
 
Post tuzione sasa hahahhaa maneno ya mkosaji hayo hahahha sisi kwetu watu hawaish kama nguruwe hhha nyumba zote za block nimekwambia huku cement 50kg in sawa na 400 ya Kenya na vat included watu watashindwa kujenga hahahaha
 
Angalia utoto sasa ...hadi wanriadha wanakuasha ..maliza kuapost ujinga bado wakenya hawaendi hapa ..hiyo dar ya majengo matatu halafu unaipost mara saba tuone vile ni kubwa ...
Majengo matatu mm nimekwambia Nairobi robo tatu ni sawa na kariakoo na kariakoo nzima magorofa hahahhahahah na hapo hio picha haijamaliza hata nusu ya kariakoo
FB_IMG_1489002262467.jpg
 
Back
Top Bottom