Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FB_IMG_1489776233844.jpg
 
Duuuuh
Kwa hicho kideo cha hiyo slum iliyo Kenya ...aisee jamaa wana hali mbaya saaana. Ni bora ujamaa ulotuweka Wabonga ktk maisha yasiyo dhalili kuliko ubepari ulowapa Wakenya wachache uwezo huku wengi wakiishi maisha nafuu ya hayawani.
 
Back
Top Bottom