Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

are you serious???dar ipige nai kwenye estates?heri ungesema hayo maskyscrapers kidogo cz apo dar imejitahidi....estates ata usitaje
kasome link unakimbia wapi hehehehehhe unafanya mchezo nn hehheh
 
Jibu sahihi ndio hilo unafanya mchezo na 6 million hahhhahahah

Nairobi
Capital city of Kenya
Nairobi
City

Clockwise from top: Central business district, Nairobi National Park, Parliament of Kenya, Nairobi City Hall and the Kenyatta International Conference Centre.

Flag
Coat of arms
Nickname(s): "Green City in the Sun", "Nai", "Nairobbery" , "Silicon Savannah"

6px-Red_pog.svg.png

Nairobi
Location of Nairobi
Coordinates: 1°17′S 36°49′E
Country
23px-Flag_of_Kenya.svg.png
Kenya
County Nairobi County
Founded 1899
Constituencies
List
Government
• Body
Nairobi City County
• Legislature County Assembly
Governor Evans Kidero
• Deputy Governor Jonathan Mueke
Area
City
696 km2 (269 sq mi)
Elevation 1,661 m (5,450 ft)
Population (2009)[1]
City
3,138,369
• Density 4,850/km2 (12,600/sq mi)
kwa akili yako timamu kama uko nayo.....hizo constituenicies zimemaliza nairobi yote?
 
Sisi tunajenga kitu advance kwa wakati, fly over zetu ni modern na hata terminal 3 international airport inafunguliwa dec dis year itakua modern airport in east and central afriaca
hahaa....we ni limbukeni kweli.haya malizeni iyo yenu nasisi yetu uishe tuje tupatane apa
 
My friend utake usitake nairobi ni ndogo sana tena sana kwa dar yani bado sana hio ndio reality
jibu swali usiforce ili ujiridhishe...siunasema unaijua nairobi.kwanza umefanya vizuri kuleta iyo ya constituenies.
 
hahaa....we ni limbukeni kweli.haya malizeni iyo yenu nasisi yetu uishe tuje tupatane apa
Hahahhaha wachana na tanzania ya 2017 my friend huku kila sector ni pamoto ukija kwenye kilimo kuna kiwanda cha kutengeneza tractor kinakamilika soon this year, ukija projects za barabara pamoto sana, ukija kwenye projects za majengo ndio kabisa hakufai, mambo ya aviation tunakua na tumeshanunua 7 aircraft sio Ku lease kama Kenya airways sisi tunanunua cash ikiwemo na 787 dream liner, ukija kwenye medical hehehhe nyie acheni tu
 
jibu swali usiforce ili ujiridhishe...siunasema unaijua nairobi.kwanza umefanya vizuri kuleta iyo ya constituenies.
Nikujibu swali au Google ishakujibu inayokujua vzr hehehhee au na we pia unataka kusema Google inasema uongo hehehhehhe
 
Hahahhaha wachana na tanzania ya 2017 my friend huku kila sector ni pamoto ukija kwenye kilimo kuna kiwanda cha kutengeneza tractor kinakamilika soon this year, ukija projects za barabara pamoto sana, ukija kwenye projects za majengo ndio kabisa hakufai, mambo ya aviation tunakua na tumeshanunua 7 aircraft sio Ku lease kama Kenya airways sisi tunanunua cash ikiwemo na 787 dream liner, ukija kwenye medical hehehhe nyie acheni tu
wawaaa.....we ni poyoyo kupindukia.i wonder watu wanakuengage vipi kwa conversation.wataka kuleta ushabiki wa mpaka ndege na barabara
 
wawaaa.....we ni poyoyo kupindukia.i wonder watu wanakuengage vipi kwa conversation.wataka kuleta ushabiki wa mpaka ndege na barabara
Wewe naona kiswahili bado kinashida kwako hehheh usijikanyage tulia baba soma uelewe kwanza usibutuke tu ovyo ovyo tuliaa
 
Soma metro.

• City 696 km 2 (269 sq mi)
Elevation 1,661 m (5,450 ft)
Population (2009) [1]
• City 3,138,369
• Density 4,850/km 2 (12,600/sq mi)
• Metro 6,547,547
Demonym(s) Nairobian
Time zone EAT (UTC+3 )
Area code(s) 020
 
Back
Top Bottom