Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naposema dar ni kubwa nasema kwasbabu naijua nairobi sasa twende kazi one by one
 
I had some images too of two rivers
C5uuRC2WYAEQkyr.jpg
C6i0HKpVsAAyPSE.jpg
C7bsby0X0AAYaDK.jpg
C7bsbyzWkAAyxbN.jpg
C5lFLSrWgAAEsHe.jpg
C5-zfWaXQAAWxHu.jpg
C7B2nhnWcAA8I3N.jpg
C7ccAEYXQAAfT-G.jpg
C7hLTAJX0AIC303.jpg
C5wNQhEXQAAaBAN.jpg
C7MiviDWkAEv698.jpg
 
Hohoho,kazi ipi wewe ,the urban metropolis in AFRICA IS NAIROBI,LEAVE ALONE EAST AFRICA.NOW YOU KNOW!!!
Mbona muoga sasa twende kazi gorofa kumi za hapo kenyata conference ndio zinawatia ujinga twende kazi sasa
 
Hahahah siunaona sasa nimewaambia tuanze na gorofa angalia wanavoruka hahahha wanajua ndio maana hawajiamini hhahahahaha

Wazimu yako haijakuisha??? Nilikwambia wewe sijibizani nawe, kitu nafanya haikuhusu na usishughulike nayo, Aliyekwambia najibu huu uzi sababu yako nani??? Sijibu mambo yako wala sishughuliki nayo, kuna watu Kule Bongo wenye akili naweza jibizana nao, kina Anneal na tuusan, Wewe jipe shughuli na hata usishughulike kuquote mambo yangu! Delusional Doltish kind
 
Hahaha ujanja wenu tunaujua na uzuri mm nawafahamu sana hahahha so hua hamunisumbui hahahahah kabisa twende kazi kwenye magorofa kama munajiamini munakimbia kimbia nn ningewaonesha Leo dar ni nin hahahahhahahah
 
Sio kama tunakataa Nai sio pazuri but nyie Wakenya mnatuletea pictures za mahala pengine mkidai ni Nairobi...then mnaiponda Dar...Aibu yenu
 
Farmajo, Somalia President arrives in Kenya, We are loved by people who are determined and on course for meaningful change. Wanafik hatuna wakati nao
C7hzh_WWsAAs5Ej.jpg
 
Back
Top Bottom