Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

9 West
9275675519_deb1aed295_b.jpg
 
Dar inachomaaaaa...!
 

Attachments

  • 1490210111360.jpg
    1490210111360.jpg
    7.9 KB · Views: 30
  • 1490210117155.jpg
    1490210117155.jpg
    10.2 KB · Views: 29
  • 1490210126708.jpg
    1490210126708.jpg
    7 KB · Views: 29
  • 1490210131934.jpg
    1490210131934.jpg
    6.2 KB · Views: 27
  • 1490210142488.jpg
    1490210142488.jpg
    10.5 KB · Views: 27
  • 1490210152324.jpg
    1490210152324.jpg
    9.3 KB · Views: 29
Ila Dsm ni nzuri sana majengo yako na architecture nzuri sana wanajitaidi kubuni majengo ya kuvutia sana
Nairobi majengo design za kizamani sana na matofaili yapo nje nje yani sura mbaya hawana design za kisasa, yani ata usafiri matatu za ajabu ajabu sura mbaya
 
Watu mko serious napenda kweli hili battle Ila mpunguze vijembe [emoji28][emoji28]japo vinanogesha lakini. ...kwakweli vitu ni vingi mno ....kitu kimenivutia zaidi ni kwamba despite of the facts that we both have some horrible places but still we do keep up!! How tall is that prism tower? ?
 
Having double glazing aluminium glass facade,only in Kenya,nairobi and Hass gonna have the same treatment.
Ni kwakuwa magorofa yenu mawili2 ndo yako hivyo nairobi nzima nayo sio marefu
Dar ya hivyo yamejazana kila kona
 
Kwa magorofa marefu marefu vumbi twawatimulia
prism tower baby,UPPER HILL
aken from around Ngong Rd junction to Hospital Rd.
5TstLS2.jpg

QWTAhgT.jpg


Taken from 3rd Ngong Ave.
PQSDnnW.jpg

S1DhP7v.jpg

32652671364_cc8e7ac226_b.jpg


33367991771_80f12b2156_b.jpg


33368026361_357e0dfae7_b.jpg


33496444415_4d0075a8ba_b.jpg


Can't Imagine the view when Upperhill Chambers will be completed. The view when taken from Britam will include Upperhill Chambers, 4th av Towers and Prism.

33112811460_85fcd87f85_b.jpg

_________________Tazama hapa chini,gorofa jingine la 30 floor ,foundation laying...
Acha zako hili ghorofa lina floor25
Ambayo zaidi ya apa mengi sana yapo na mengi yanajengwa
Emagine refu kuliko lote lina 40 floor
 
ViKenya ni jijanja sana
Ukifatilia utaona majengo mengi ya tanzania yanafloor nyingi kuliko ya kenya lakini ya kenya yanarecordiwa marefu sana
So wakenya wanachofanya wanaongeza msitima (tower) kwa juu ko jengo likipimwa wanalirecord kuwa ni refu sana

Na internationally ndo wanavyopima
Ndio maana kuna mda flan hvi marekani walibadrisha tower ya jengo la empire state likaongezeka urefu
 
Back
Top Bottom