Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumba za Ilala hizo kufkia 2020 ILALA yote itakua magorofa so imagine ukubwa wa ilala hahaha kila kona nyumba zinakula nyundo gorofa zinapanda kwa speed ya hatari hakuna mchezo
PhotoGrid_1490237828475.png
 
Hhhahahhaa nairobi ndogo sana hata upost angle tofauti mia moja bado same pics and buildings will appear na sio tu ndogo imejengeka sehemu moja mm sio mgeni nairobi my friend
Sehemu moja? wewe wafahamu Nairobi kweli?? Kama wajua nairobi utaelewa si CBD pekee kumejengewa. Utafahamu there are other commercial areas like Upperhill etc. Pia size does not matter, kama kwa ukweli wafahamu Nairobi then utaelewa the metropolis area, areas out of narobi administrative areas,
Na for your information Paris is only around 105 square kilometres. But you do know kuna kitu kinaitwa metropolis??
 
Ichoboy01 sometimes comment zako zanipa mashaka....huo mji kila mara unaonyeshwa ni mkubwa una cbd tatu bado unauona mdogo? Embu uache utani basi...usilazimishe uwe mkubwa kama Dar na usituaminishe ni mdogo sana ata kama wengine atujafika uko ....unapost vyema picha kuiwakilisha Dar ila comment zako hazibariki sometimes
 
Na comment kulingana navoijua nairobi nimekaa huko nimetembea huko, punguza akili za kitoto siwez kuongea kitu sikijui nairobi ni ndogo sana na imejengeka sehemu moja
 
Back
Top Bottom