Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaota dar ya 90s nilimwambia mm dar inajengwa kila pembe ya 1590 km sq anafkiri namtania ahahahhahahShikamoo Dar, wakenya nendeni mkachambe kwanza.
You Can't compare your city with Dar.
Wasameee baba, utawaua [emoji23][emoji23][emoji23]
But kuna something huwa najiuliza sana, wakenya wanasema wako mbele yetu, but wanatuonea wivu sana.Wanaota dar ya 90s nilimwambia mm dar inajengwa kila pembe ya 1590 km sq anafkiri namtania ahahahhahah
Macho yao yanaona lakin moyo haukubali so leo wanastaajabu kuskia dar imefika mbali sana sasa hawaamini na hawatakiBut kuna something huwa najiuliza sana, wakenya wanasema wako mbele yetu, but wanatuonea wivu sana.
Hii kwanini inakuwa hivo?
Mm nataka tuelewane sio kuwaua 😀😀😀Wasameee baba, utawaua [emoji23][emoji23][emoji23]