Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Kama ndio hivyo basi wajaluo akina Teargas wataichukia SADC mpaka mwisho wa dunia kwa kumyima tonge baba yao😎Hatuwezi tukawapa Wapuuzi wa EAC uongozi wa AU kipindi hiki na wakionyesha uzandiki wa wazi kwa Kagame dhidi ya Congo DRC!