Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu

1740055392143.jpeg
 
umeelewa habari kwanza, zile project za adani anapewa mchina kama vile JKIA heheh safari hii mpaka polisi watakua wachina ili wawacharaze vzr mbwa nyinyi
Nenda shule ukajifunze Kusoma wewe Yemeni refugee. Article imeandikwa “Adani like”, Do you know what that Adani like means?
 
Nafurahi kuwa siku hiz watz wanafunguka na wanajuw kinachoendelea.
Soma hizo comments.
Hawana uelewa wowote wanaropoka tuu.

Wananchi waajulia wapi calculation zaidi ya kuona Kwa macho? Wanajua activities kweli zinazohusika?

Wasubirie reli waache ujanja ujanja
 
nilitegemea kiwe 100% toka mwaka 2024 lakini aibu naona mm, tumekalia uchawa na kusifiana upuuzi tu wakat miradi inasuasua na mabilioni ya pesa yamekopwa kuliko marais wote waliopita kwenyw nchi hii😂
Wacha kuwika furahia hata huo mradi kufika 63% kuna watu dude limegota!
 
Back
Top Bottom