Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A bunch of ng'ombe from northern hazijui hapo jeshi letu LILIKUWA kwenye mazoezi ndio maana wanavaa hizo helmet,anyway ,here is Tanzania army in full modern millitary attire worn in battle field🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪View attachment 3248247
Uongo !… these are your Special Forces…and acquired these helmets Juzi …. Regular soldiers don’t carry military canine ( Belgian Malinois dogs)… wewe ni mpubavu …. You can’t argue with me on this issue…it’s above your pay grade…🤣🤣🤣🤣
 
Okay,ww mtanzania unajua jeshi la Tanzania kuliko Mimi mkenya,hata hivyo,kwa akili Yako ya mat@ko,kama unafikiria helmet ndio nguvu ya jeshi,mngewashinda Al SHABAB!🤣🤣
 
Okay,ww mtanzania unajua jeshi la Tanzania kuliko Mimi mkenya,hata hivyo,kwa akili Yako ya mat@ko,kama unafikiria helmet ndio nguvu ya jeshi,mngewashinda Al SHABAB!🤣🤣
Either you don’t know jack shit about your Special Forces or you are deliberately lying like a sack of shit about how your regular Army dresses in combat ….. and now that I have caught you , you play shifting .. smh
 
Why are you ignoring the actual topic at hand…,the Sufuria helmets…🤣🤣🤣
View attachment 3248232
Sisi huwa hatuigi kila kitu kama nyinyi, tunabaki kwenye uhalisia na ndiyo mana jeshi letu lina historia ya kushinda vita na linaheshimika barani Africa na dunia kwa ujumla, labda nikuulize wewe ni gharama kiasi gani kununua kofia? Ikiwa tpdf imenunua mabasi ya kisasa mengi sn ambayo kwenu ni ndoto, sasa kofia na usafiri kipi ni gharama, wacha utoto, onesha gari za kdf kama hizi na sio kofia ambayo hata wewe mbeba box unaweza afford.
Screenshot_20250224-214700~2.png
 
Sisi huwa hatuigi kila kitu kama nyinyi, tunabaki kwenye uhalisia na ndiyo mana jeshi letu lina historia ya kushinda vita na linaheshimika barani Africa na dunia kwa ujumla, labda nikuulize wewe ni gharama kiasi gani kununua kofia? Ikiwa tpdf imenunua mabasi ya kisasa mengi sn ambayo kwenu ni ndoto, sasa kofia na usafiri kipi ni gharama, wacha utoto, onesha gari za kdf kama hizi na sio kofia ambayo hata wewe mbeba box unaweza afford.View attachment 3248357
Jeshi la Tanzania na vita ???.. 🤣🤣🤣… I know there is some young boys laughing at you in Eastern DRC… 🤣🤣
 
ichoboy01 njoo uchukuwe ng'ombe zako bhana Mimi zimenishinda,nchi haijulikani polisi nani,jeshi nani nimwendo mitutu kila mahali 🤣🤣🙌
View attachment 3248225
This a tribal militia … they are common all over sub Saharan Africa… hata Tanzania wako .. difference is the ones in Kenya use AK 47s whereas yours still in Stone Age bows and arrows…. Hereby is Datoga warriors of Tanzania…. So you were saying?….😁
IMG_6017.jpeg
 
I have been saying here often, in 5 years time, Kenya especially Nairobi will be in a level that will shock the world… our politicians are the problem. But no sub Saharan Africa country can match Kenya in private entrepreneurship outside of South Africa.
 
But those World War 2 helmets are not made in Tanzania… so what’s the pride about them?… 🤣🤣
Unaumia ukiwa wapi, tpdf ishawahi shinda vita zaidi ya moja na imesaidia nchi nyingi za Africa kupata uhuru, nitajie kdf ilishinda vita gani zaidi ya kuiba mikate 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa naona ni ishu ya lugha tu.. Hapo nadhani wana maanisha Raul-mounted Gantry crane, RMG au zile STS crane.. Ship to shore crane... Ambapo zinqfungwa na kutembea kwenye rails ili ku rahisisha kupakua containers kwenye meli... Inatemebea kufuata meli na kurudi ili kupanga containers kwenye blocks zake.
Ila ndo waite gantry crane treni? Hapana Aisee! crane hata ikiwa inatembea juu ya reli haiwezi kuitwa train! Wameondosha maana!
 
Sisi huwa hatuigi kila kitu kama nyinyi, tunabaki kwenye uhalisia na ndiyo mana jeshi letu lina historia ya kushinda vita na linaheshimika barani Africa na dunia kwa ujumla, labda nikuulize wewe ni gharama kiasi gani kununua kofia? Ikiwa tpdf imenunua mabasi ya kisasa mengi sn ambayo kwenu ni ndoto, sasa kofia na usafiri kipi ni gharama, wacha utoto, onesha gari za kdf kama hizi na sio kofia ambayo hata wewe mbeba box unaweza afford.View attachment 3248357
Kwanza kofia ni mtumba za donation toka US Army!
 
Unaumia ukiwa wapi, tpdf ishawahi shinda vita zaidi ya moja na imesaidia nchi nyingi za Africa kupata uhuru, nitajie kdf ilishinda vita gani zaidi ya kuiba mikate 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Niumie Mimi about Jeshi la masufuria?… 🤣🤣… not in this life .. na Niko USA , home of the strongest military in the world…
 
Nitajie vita ambayo kdf iliwahi kushinda, tpdf ishashinda vita nyingi na zipo kwenye historia hata wewe ulisoma.
For a start , KDF only military in Africa to conduct a successful Amphibious assault ( Kismayo)…. Do you know what that means?… Why didn’t TPDF try the same against ISIS in Cabo Delgado, Northern Mozambique ?… they occupied coastal areas … what’s the excuse?..You know why..You have no proper equipment for such an operation… there you go…😂😂😂
IMG_6018.jpeg
 
Back
Top Bottom