Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona hizo numba ni za kawaida tu you can find them even in mbagala Dar es salaam. Au we unaona u special gani hapo wa kulinganisha na ile most expensive house in the region. Eti kwanye haka kajumba unaona u special upi.? 🤣🤣👇🏾View attachment 3249018
Mbagala hii moja au ingine??
Leta hizo picha tafadhali, pengine simu yangu ina shida
1740515019347.jpeg

IMG_1652.jpeg
IMG_1653.jpeg
IMG_1651.jpeg
 
Hivyo vyote vilianza awamu ya JK kuanzia ports,BRT & exports expansion Hadi Sgr.

Yaani hapo kasoro hiyo bwawa la Umeme tuu the rest kazi zilikuwa zinaendelea kitambo ikiwemo kuhamia Dom,so hakuna jipya.

Kwani mradi gani wewe huoni matunda yake?

Mwisho Samia anafanya hayo ya umaliziaji pamoja na mapya mara 2 zaidi ya ilivyokuwa awali.👇👇

View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=WRTj3gnJfW3F0yHb6y1NZA&s=19

My Take
Hakuna Awamu imewahi toa Fedha nyingi za maendeleo kama awamu ya 6 across sectors.

View: https://x.com/jokateM/status/1894354122033201590?t=02upYLkTV_xRiJIoQqXCUA&s=19

hoja zimekushinda sasa 😂😂😂😂😂

ndio maana hua nakwambia tukisema tuongee facts kiukweli utatapika mzee

kama unafkiri bagamoyo port haikua na shida kwenye ule mkataba mbona hamufufui tena ule mkataba wa awali uliokataliwa na magu
 
Hizo start-ups zinaproduce nini? Sababu hata export tumewadouble, what are you producing? Investment tumewadouble, FDI tumewatriple kabisa
And that’s why folks, education is important.

Ladies and gentlemen, i present to you a submission to nominate this for post of the week.
This one takes the post of the week easy, clean unless Alaska decides to drop a bomb soon😂😂👌
IMG_1654.jpeg
 
View attachment 3249546
Nimekuuliza hizo new services and products zipo wapi? Usichoelewa ni nini we ng'ombe? Hujui hata maana ya start-up
Screenshot_20250225-233235.jpg
 
🤣🤣🤣kwa vijumba hivi.? 👇🏾View attachment 3249126View attachment 3249127ever heard of Fumba town or fumba uptown living.? Heb toa tongo tongo kwanza. 👇🏾View attachment 3249147View attachment 3249134View attachment 3249135View attachment 3249137View attachment 3249138and this is the most luxurious building in the region so far. View attachment 3249145View attachment 3249139View attachment 3249140View attachment 3249142View attachment 3249143heb tueleze ni estate ipi hapo ukinyani inaweza tia pua hapa fumba uptown living.? 🤣🤣🤣. Nimeeona huyu zuzu Teargas ati aki mention this house in comparison na hivi vidubwana 👇🏾🤣🤣🤣View attachment 3249150hivi ni vijumba random tu hapa bongo you can find them anywhere.
You are right, hizo ni nyumba tu random in Nairobi no one in this forum knew about until that video. Fumba however i knew since i joined this forum back in 2017 amd i have been reminded daily. Main reason is that it’s probably the best one of 3. I know you will post avic town next and that’s about it
 
Hizo start-ups zinaproduce nini? Sababu hata export tumewadouble, what are you producing? Investment tumewadouble, FDI tumewatriple kabisa
Ni money laundering Tu...... kama umesoma Cuba na unsijua Kenya vizuri utanielewa. Kenya sasahivi imekuwa money laundering centre kubwa sana, hata hizo apartment building wanajenga, ni kweli zimenunuliwa ila ni kwa ajili ya money laundering tu.......ma mbishe kama mnaweza!!
 
Ndio maana hizo apartments zipo empty kama GTC occupancy yake hata 30 percent haifiki
 
Back
Top Bottom